University_Promo
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 749
- 661
- Thread starter
- #21
Kabisa mkuu,inaweza kuwa wimbo huu.Kabisa mkuu,inaweza kuwa nyimbo hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu,inaweza kuwa wimbo huu.Kabisa mkuu,inaweza kuwa nyimbo hii
Na Nandy naye amekosa visa kwasababu amehama WCB??Hakuwahi kuwa WBC na hatowahi kuhusu WBC namzungumzia Hamornize ndiyo aliyekuwepo WBC label.
Hapana.Na Nandy naye amekosa visa kwasababu amehama WCB??
Watu mnamakinika kukodolea mapicha nyie! Sina hamu!Nandy hicho kifuti/kipepsi mkorogo uligoma
WBC?Hakuwahi kuwa WBC na hatowahi kuhusu WBC namzungumzia Hamornize ndiyo aliyekuwepo WBC label.
Anamaanisha wenge bcbg labdaaWBC?
WBC=WCBWBC?
Kwa nini wamenyimwa visa? Au waliextend muda walipokwenda USA? Ni sababu gani hasa iliyowafanya wakose visa? Harmonize muoe Sarah ili upate uraia wa Italia. Ukiwa na passport ya Italia hautahitaji visa kuingia USA ni nauli yako tu na cha muhimu usizidishe miezi mitatu kuishi huko.
hahaahaa....Kama alikuwa anatest mitambo ndio ajue CCM sio watu wa mchezomchezo
Principled country.Marekani kuna visa maalum za wasanii wanaoenda kufanya maonesho.
Ukienda kuomba visa tofauti na hiyo, wakati wanajua unaenda kufanya onesho, wanakupiga chini.
Kuna msanii, nafikiri ni Ommy Dimpoz aliomba visa tofauti, akapewa, watu wakamchoma immigration ya US kwamba huyu anakuja kufanya show.
Alivyofika airport wakamkatalia kuingia US. Kwa sababu visa yake ilikuwa tofauti na ya msanii anayeenda kufanya show.
Marekani tunaishi kwa kitabu.
Hafagiliwi mtu hiyoMarekani kuna visa maalum za wasanii wanaoenda kufanya maonesho.