Hamornize ni lini ataacha malalamiko?

Ndiyo mkuu ,ndiyo maana akatoa mil 600 na akakabidhiwa hadi accounts zake za social media azirun mwenyewe means alipewa hadi haki miliki za kazi zake alizotoa dabliyusibi.
Haki zako zimekuwa specifying kwenye mkataba wako ni zipi je amenunua zote au ni baadhi ndio maana akalipa 600M? kwa mujibu wa Harmonize anasema yeye ndio mmiliki wa haki zake kwa asimilia 💯 hapo hapo anasema distributor na publisher ( WCB) wanamzulumu ?swali kama ni kweli yeye ana haki zote inakuaje WCB wameendelea kuwa ni distributor na publisher wake? Na kwanini aongee sasa wakati umepita muda mrefu Sana tangu yeye atoke WCB?
 

Nadhani aliaamua dabliyusibi waendelee kuuza kazi zake kama distributor na vile kupublish ambapo hiyo kazi anaweza yeye hamonaizi kumpa mtu yeyote maana ana haki miliki nazo.
 
Nadhani aliaamua dabliyusibi waendelee kuuza kazi zake kama distributor na vile kupublish ambapo hiyo kazi anaweza yeye hamonaizi kumpa mtu yeyote maana ana haki miliki nazo.
sasa kwanini alihama? hamna kitu kama hicho.
kama unamiliki masters huwezi kulilia distribution na publishing kwamba unazulumiwa wakati haki zote unazo
 
Harmonize ni Dudu Baya wa miaka michache ijayo.
 
Hiyo hutegemea na mkataba ulivyokuwa na baada ya kuvunjwa vipengele ambavyo bado vinabana some rights kuvijua ni lazima uyasome yaliyomo kifungu kwa kifungu, nadhani dogo aache mambo ya bangi na akili za 'kitaa' atafute lawyer atakayeweza kuyapitia yote kifungu kwa kifungu kama anaibiwa basi awashtaki wanaomuibia kama kuna sehemu alikosea akawa kajiingiza mkenge basi atafute namna ya kurekebisha makosa
Hawezi kutatua matatizo yake kupitia Insta-story.
 
Brilliant clarification.
 
Yeah.
[emoji817][emoji3581]
ANA TATIZO YULE LA KUTOKUJIAMINI, NI MLALAMISHI NA AKILALAMIKA ANATAKA KILA MTU ASIKIE, HATA KWA KUIMBA.NIMEFUATILIA NIKAGUNDUA NI UFUPI NA PENGINE HAIPENDI SURA YAKE PIA.UKICHUNGUZA UTAGUNDUA NI PESA TU INAMFANYA ANGALAU ATAMBE.
UKIJA KWA SABABU ZA KIUTU NA KIBINAADAMU ANAKOSA HIZI HAIBA NA HUTUMIA NGUVU NYINGI KUJIWEKEZA KWA WANAWAKE KULIKO WAO KUMKUBALI.HII KITU NAHISI INAMUUMA SANA, SASA ANAJIKUTA MLALAMISHI HATA KATIKA MAMBO YASOHITAJI ULALAMISHI.
KINGINE ANAPENDA KILE MNAITA KIKI YAANI KUFANYA MAMBO KIUONGO UONGO NA KISENGELENYUMA NYUMA ILI TU ATEKE WATU.nawasilisha ujinga wangu.
 
Binafsi naona ameamua kuamsha walio lala.. Kosa lake ni lipi hapo?

Kuna uwezekano mtoa Mada ukawa ndie unaestahili kuoewa hii elimu maana ni kama huelewi hivi
 
Binafsi naona ameamua kuamsha walio lala.. Kosa lake ni lipi hapo?

Kuna uwezekano mtoa Mada ukawa ndie unaestahili kuoewa hii elimu maana ni kama huelewi hivi
Naona amemtaja mpaka S2kizzy na Tetema, utazani alikiwepo kipindi WCB wakiingia contract na S2kizzy.

Unasema anawaamsha wenzie, yeye maproducer wake walio mtengenezea album 3, wanachukua asilimia ngapi kwenye mauzo ya album yake?, yeye mnafiki na mzurumishi. Hii ni kutaka kiki na kutaka kutrend ,atuambie yy maproducer wake wanachukua % ngapi manake wana hali mbaya kuliko hata S2kizzy.

Mwamba anatafuta kutrend kupitia WCB na siku hizi hawa mjibu ,yy kama kaona kazurumiwa atangulie vyombo vya sheria akapate haki yake.
 
Kwakuwa hajalalamika sehemu sahihi, basi hiki alicholalamika si sawa ni stunts na kutafuta attention.
Angeweza kutafuta lawyer akafungua shauri mahakamani, yaani anaitisha distribution company kwenye 'Insta-story'.
Ganja on fleek.
Harmonize anatumia akili za ganja
 
S2kizzy mwenyewe kaa zake kivyake hajawahi kulalamika au kuomba msaada wa mtu mwingine yeye ni nani mpaka amzungumzie
 
Binafsi naona ameamua kuamsha walio lala.. Kosa lake ni lipi hapo?

Kuna uwezekano mtoa Mada ukawa ndie unaestahili kuoewa hii elimu maana ni kama huelewi hivi
Hakuna sehemu ya kusema unaamsha sehemu ya waliolala wakati target yake yeye ni kutrend kupitia hao WCB, S2kizzy hajawahi kulalamika au kusema chochote yeye ni nani mpaka azungumzie anaujua vizuri mkataba wa S2kizzy? Hapo pia kamuingiza Rayvanny wakati ni mtu ambaye ana bifu nae muda mrefu mpaka Leo inakuaje awe na uchungu na Rayvanny? Wewe umjui Harmo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…