Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Nimemuelewa kabisa. Katapeliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu nipe elimu kidogo hiyo company ya ziik inasambaza hizo kazi wapi?Diamond alifanya interview Times fm akihojiwa na lily ommy ni baada ya kuona japo wamegoma kupiga ngoma zake lakini wanatumia radio yao kumzungumzia vibaya kwenye kipindi Cha shilawadu, kwenye page za clouds pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa clouds kama Diva the boss n.k
Tukija kwenye hiyo issue ya harmonize kwenye mziki kuna vitu viwili mkuu ambapo ni vyamsingi Sana kwenye operation ya label unapoachana na label before ya Muda wako kuisha mlikubaliana na hiyo label kuna kitu unachokifanya ni kununua mkataba na pia kununua haki zako zote, msanii anaweza akanunua mkataba lakini akashindwa kununua haki zake zote za kazi au akanunua baadhi ya haki zake zote unaposhindwa kufanya hivyo inamaana kuwa label ndio anakuwa mmiliki halali wa hizo kazi
Kampuni ya Ziiki ni kampuni inayohusika na usambazaji wa miziki, promotion na kusimamia wasanii barani Africa. Wanasambaza kazi za wasanii kupitia platforms mbalimbali kama spotify, audimack, boomplay n.kHebu nipe elimu kidogo hiyo company ya ziik inasambaza hizo kazi wapi?
Ok Asante sana Kwa maelekezo mazuri na YouTube pia wao ndio wanasambaza?Kampuni ya Ziiki ni kampuni inayohusika na usambazaji wa miziki, promotion na kusimamia wasanii barani Africa. Wanasambaza kazi za wasanii kupitia platforms mbalimbali kama spotify, audimack, boomplay n.k
Youtube Mara nyingi iwekwa na msanii ndio anayehusika SanaOk Asante sana Kwa maelekezo mazuri na YouTube pia wao ndio wanasambaza?
Ziiki ni distribution company kazi zake ndio kama hizo alizokutajia Hziyech22 ...sasa bwana Njomba Nchumari anadai anamiliki kazi zake asilimia mia wakati huohuo kuna kampunk ya usambazaji(ziiki) ambayo anafanya nayo kazi wao ndio wanamiliki Royalties (matunda ya kazi ya sanaa) zake na mwisho wa siku wanagawa faida ya kazi husika kufuatana na mgawanyo wa asilimia kwa labels,wasanii,producers,n.kHebu nipe elimu kidogo hiyo company ya ziik inasambaza hizo kazi wapi?
Ziiki ni distribution company kazi zake ndio kama hizo alizokutajia Hziyech22 ...sasa bwana Njomba Nchumari anadai anamiliki kazi zake asilimia mia wakati huohuo kuna kampunk ya usambazaji(ziiki) ambayo anafanya nayo kazi wao ndio wanamiliki Royalties (matunda ya kazi ya sanaa) zake na mwisho wa siku wanagawa faida ya kazi husika kufuatana na mgawanyo wa asilimia kwa labels,wasanii,producers,n.k
Sasa Njomba Nchumari anakurupuka kuichafua ziiki media ionekane wananyonya kazi za wasanii na kwenda mbali zaidi kuwa anataka distribution company😃...
Pia anasema anataka Publishing company)(company ambayo itakuwa mmiliki wa mashairi ya nyimbo zake atakazokuwa anatunga) cjui km Njomba hatambui kwamba akishaanza kufanya kazi na hizi publishing company za nje ya label hatokuwa tena na haki ya kutumia mashairi ya nyimbo zake atakazokuwa anatunga bila kuomba hizo publishing houses..kwa hili mimi namshauri afungue Publishing house/company yake mbn ni rahisi tu akienda pale COSOTA? Wasanii kibao wana publishing company zao mfano Gucci Mane ana Davis Delantic publishing LLC,Quavo ana Huncho Yrn Publishing,Nicki Minaj ana Barbie music Publishing..
COSOTA na BASATA inabidi waandae semina wawaelekeze wasanii vitu hivi, ni aibu sana ishu za mikataba ya wasanii kuleta utata kwenye tasnia wakati vyombo vya kusimamia haya vipo kbs,Marekani wasanii wengi wanacheza kwenye asilimia 12 mpk 30 za mgawo lkn huwez kusikia mizengwe ya kunyonyana
Unajiuliza kama ana mameneja wanaoshindwa kukusanya mirahaba yake hao mameneja kazi yao ni nini hasa?!Namkumbuka Mwanasiasa Maarufu Kuwahi Kutokea Tanzania, Mh. Edward Ngoyai Lowassa (Mungu amsaidie Apone Haraka) aliwahi kusema kuwa, Watanzania Hatuhitaji mambo Makubwa na Mengi zaidi ya ELIMU..!!! ELIMU..!!! ELIMU…!!!
Hakuacha Kusisitiza Hilo hata alipowataka watu kuzungusha Mikono, Baada Ya Kumaliza Kuzungusha Mikono bado alisisitizia ELIMU…!!! ELIMU…!!! ELIMU…!!! kwa Watanzania.
Leo Nimemkumbuka Mh. Edward Ngoyai Lowassa baada ya Kuona Malalamiko Ya Harmonize kupitia Insta Stort Yake. Harmonize Analalamikia kutokulipwa Pesa Za Mauzo ya Mziki wake na Kutishia Kutafuta Distribution and Publucation company Mpya Kama kampuni Ya Mzikii haitaweza Kumsaidia.
Ameenda Mbali zaidi na Kusema kuwa hata Kwangwaru ambayo ilifikisha Views Millioni 100 hakupata Hata USD Dollar 1 ya Distrubution and Publication. Ameomba Mzikii wamuoneshe njia Ya Yeye kupata hizo haki zake. Back to the Point, Harmonize Anakosa ELIMU..!!! ??? Au Ameamua Maisha Yake yawe kuwa Kila Mwaka Awe na Jambo…??
Harmonize katika Maandiko yake Ameonesha Kuwaalaumu na Kuwavaa Record Lable ya Wasafi Kama Wanyonyaji na wanaendelea Kumnyonya kupitia Distribution and Publication ya Kazi Zake. Tulisha Jadiri na Kumshauri Harmonize Kuwa Sisi anao Tulalamikia Instagram hatuna Mkataba wake wala Hatuna kitu chochote kinacho Tuonesha Makubaliano waliyo yafanya Kati yake na Wasafi.
Ni vyema Harmonize Akaenda Mahakamani na Kufanya Mambo Yake kimya Kimya Bila Kuwatishia Mzikii kuwa aanaondoka Au ata fight na mtu kama anahisi Ana Haki ya Kupata Anacho stahili. Ni vyema sana hawa wasanii wakawa na ELIMU…!!! Ya Sheria Kuelewa Kwa Undani Mikataba wanayo ingia badala ya kuja Public na kutafuta Huruma Ya watu Wa Instagram kuhisi unanyonywa wakati Sio. Nacho elewa ni kuwa Ukiwa Chini Ya Record label Au Kampuni Yoyote kuna Vitu vingi kisheria unakuwa hauhisiki moja Kwa Moja na Badala Yakd kampuni inakuwa inakusimamia.
Ni wakati sasa Wa Harmonize kukubari kuwa kuna Pahala Alikosea na Hayupo Tena Wasafi. Otherwise afanye Publication ya Makubaliano waliyo yafanya Ili wale waliobobea Sheria Wamsaidie. Management ya Harmonize inakosea Vitu vingi sana na Ipo siku watakuja Kulipa Gharama kubwa sana kama wenye Hizi Kampuni anazo Zishambulia Public wakiamua Kutafuta Heshima Yao mahakamani na Kuchoshwa Kuuliwa Brand Yao. Harmonize Hajafikia Level ya Kuwatishia Mzikii au Wasafi kwasababu Alikotokea Kila Mmoja Anakujua.
Ni wakati sasa wa yeye kuacha Wachumba zake kuwa Ma-manager na Kuwatafuta watu wenye uweledi wamsaidie katika management ya Mziki wake. Huwezi Ukamuweka Mpenzi wako ambaye hata hamjaoana kuwa Manager wako ukategemea mafanikio.View attachment 2525256
View attachment 2525257
View attachment 2525258
""Ndio Mkuu hili ni jukwaa la selebretiziMkuu Hili si jukwaa la celebrities