Hamu ya kula isiyozuilika

Hamu ya kula isiyozuilika

Mshangazi dot com

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
1,345
Reaction score
3,503
Imeshawahi kukutokea umepata hamu ya kula chakula flani na huwezi kutulia mpaka ukipate? Imenitokea leo, usiku huu nimeanza kupika vitumbua vya nazi na iliki maana sijisikii kula kitu chochote zaidi ya hivi vitumbua.

Vitumbua.png


Vipi ulishawahi kupata hamu kama hii? na ulikula nini kuituliza?



Njooni!

nakwede97Aaliyyah
Leejay49
Sister Abigail
realMamyQashy Lilith
To yeye
Msweet
Chujio
ledada Carleen
Numbisa
Mama Mwana
SweetyCandy Ellerie Bexley
 
Dahhhh.....
Nimekuja nduki nikidhani ni chakula ile ya usiku mazee...😜
Nyuzi zingine muwe mnaweka heading zisizo shitua mtima...🤣
Hiyo ndo hamu pekee unayoijua eenhe 🤣 🤣 🤣
Pole kwa kushtuka!
 
Back
Top Bottom