Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Nimekucheck PM 😜Hiyo ndo hamu pekee unayoijua eenhe 🤣 🤣 🤣
Pole kwa kushtuka!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekucheck PM 😜Hiyo ndo hamu pekee unayoijua eenhe 🤣 🤣 🤣
Pole kwa kushtuka!
NakaziaDahhhh.....
Nimekuja nduki nikidhani ni chakula ile ya usiku mazee...😜
Nyuzi zingine muwe mnaweka heading zisizo shitua mtima...🤣
😋 Daah ugali na dagaa na kapili pili 😍 napenda sana!Leo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
Ushindwe 😅Utakuwa una mimba changa
Huwa unafanya nini kuituliza? au umeoa hivyo unamgeukia tu mkeo na kujilia mbususu.hamu ya kula mbususu huwa inasumbua sana, usingizi hauji
Mkuu naweza kukuuliza kitu?
Chakula changu pendwa sana😋😋,. Hasa dagaa wakipikwa na naziLeo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
Hapana mai, cravings tu za kawaida 😅Kwan we mjamwepes??
Umepika mwenyewe?Leo hii nilikuwa na hamu ya kula ugali dagaa.....nimehangaikia dagaa hadi nikawapata, nimewala na ugali na pilipili
we acha tu ndugu yangu huwa inatesa sana, wife akiwepo unageuka upande wa pili, sasa kama hayupo huwa inakuwa ntihani sanaHuwa unafanya nini kuituliza? au umeoa hivyo unamgeukia tu mkeo na kujilia mbususu.
Sina 😎hauna mimba changa
Fuga 😅Muhimu uwe na uwezo wa kukipata kwa wakati; mfano natamani sana nipate nyama ya sungura pori, changamoto utawapata wapi.