Hamu ya kula isiyozuilika

Hamu ya kula isiyozuilika

Shangazi umenikumbusha Kuna kipindi nilikula ugali mwingi Sana mchana ko nikashiba kupitiliza, ilivofika usiku nilikula karanga tu packet moja ya jero mwanaume nikalala.
Basi saa nane usiku nikastuka Nina bonge la njaa afu usingzi umekata, nilivuta Hadi saa tisa lkn wapiii!!🙄
Nikaamua kukoroga uji bila kujari majirani watanifkria vip kupika usiku.
Nilikunywa uji vikombe vinne usiku kilichofatia ni kisumbuliwa na mkojo Hadi asubuhi na Wala usingiz sikupata tenaa.
 
Huwa unafanya nini kuituliza? au umeoa hivyo unamgeukia tu mkeo na kujilia mbususu.
we acha tu ndugu yangu huwa inatesa sana, wife akiwepo unageuka upande wa pili, sasa kama hayupo huwa inakuwa ntihani sana
 
Ilinikuta kipindi nipo mjamzito nimekaa usiku hamu ya kula nyama ikanijia. Yaani nilikuwa napata shida hakuna kinachofanyika zaidi ya kuwaza nyama tuu. Nilijihisi kama napungukiwa na kitu mwilini.

Ilibidi mdogo wangu wa kiume aamke saa 4 usiku achinje kuku tukaanza kupika. Baada ya kuiva nilipoonja tuu nilijisikia ahueni mno kama nimetua mzigo mkubwa sana.
 
Hii mara nyingi hutokea, mimi hamu ya Chips yai napenda sana. Hamu ikinishika lazima nitakula tu hata iwe usiku wa manane.
 
Back
Top Bottom