Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Mama yangu alipitia hii phase ya kupenda udongo, ilikua shida sana!Kwa kweli mi hata nikitamani udongo....nitakesha nitafute popote ulipo mpaka niupate
Imenitesa kwa kipindi kirefu sana, sasa imepungua ila siku nikiukumbuka...onhoo🤦Mama yangu alipitia hii phase ya kupenda udongo, ilikua shida sana!
Aisee nikikosa mbunye nawe,a koroga mlenda usiku wa mana e nipige nyetoNikikosa fegi,naweza amka usiku mkali nikavuta hata godoro
Who are you?Dahhhh.....
Nimekuja nduki nikidhani ni chakula ile ya usiku mazee...😜
Nyuzi zingine muwe mnaweka heading zisizo shitua mtima...🤣
Hiyo ndo hamu pekee unayoijua eenhe 🤣 🤣 🤣Dahhhh.....
Nimekuja nduki nikidhani ni chakula ile ya usiku mazee...😜
Nyuzi zingine muwe mnaweka heading zisizo shitua mtima...🤣
Kama wewe hujawahi kuishi na vibinti vya Tanga pole yako umepitwa na vingi mkuu.WTF Is 'hiriki' ?