OCC Doctors
Senior Member
- Jul 20, 2018
- 113
- 172
Doctor imeishia Kati au itaendelea ?Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu.
Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa katika siku za kukaribia kupevuka kwa yai.
Ikiwa mwanamke atapata hamu na hisia ya tendo wakati wa hedhi inaashiria utofauti na mabadiliko ya mwenendo wa homoni ya 'Estrogen' katika mwili wake.
Elezea kidogo shangaziAahh hii huwa ni hatari sana kuzidi hata ile ya ovulation.. πππ
MnoAahh hii huwa ni hatari sana kuzidi hata ile ya ovulation.. πππ
Haha sio poa mkuu!naijua hiyo.Dah Mungu atusamehe tu Kuna watu tumepiga mechi mpaka wakati wa mvua