kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,097
- 7,199
Sasa kama ni expert wa BAN kiasi hiko uwazoee tuNyingi sana mpaka nimefanya survey nimegundua hili. Hapa nilipo natoka kwenye BAN ya miezi 2 !
Hebu fafanua hapa na ukipigwa bani wao wananufaika nanini? Au lengo lao nini haswa! NijibuNdio, Hamuniwezi
- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao
Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Huyu kachanganyikiwa mkuu ndio mana kaileta jukwaa la jokes [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona unalazimisha tukukariri?
Hebu fafanua hapa na ukipigwa bani wao wananufaika nanini? Au lengo lao nini haswa! NijibuNdio, Hamuniwezi
- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao
Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Kivipi General MangiMbona unalazimisha tukukariri?
Sio bure huyu kuna nati imekatika mahala awahi hospitalHuyu si ndiyo yule aliyetaka kupeleka posa kwa Obama?
Nilitaka kusema ivo pia.Sio deo kisandu huyu kweli???[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] maana ndio akili zake hizi