Hamuniwezi, Nimegundua kuna WanaJF wanamhonga Maxence Melo na Mods ili nipigwe BAN

Ndio, Hamuniwezi

- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao

Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Hebu fafanua hapa na ukipigwa bani wao wananufaika nanini? Au lengo lao nini haswa! Nijibu
 
Huyu si ndiyo yule aliyetaka kupeleka posa kwa Obama?
 
Hebu fafanua hapa na ukipigwa bani wao wananufaika nanini? Au lengo lao nini haswa! Nijibu
Nia yao na kuhakikisha natoweka JF na ID yangu inafutwa kwa kuwa wanaona kama napata faida sana kuwa humu ndani
 
Back
Top Bottom