Hamuniwezi, Nimegundua kuna WanaJF wanamhonga Maxence Melo na Mods ili nipigwe BAN

Hamuniwezi, Nimegundua kuna WanaJF wanamhonga Maxence Melo na Mods ili nipigwe BAN

Ndio, Hamuniwezi

- Kuna watu wako tayari kuhakikisha napigwa BAN mara kwa mara na wametenga fungu kwa ajili ya kutembeza mlungula. Nasema nitadeal nao

Nawasihi kuachana na mpango huo haraka
Umetisha Mkuu
 
Jamaa kanichekesha hadi kamasi jembamba likatoka
 
Back
Top Bottom