johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kwani ni lazima Ikulu iwe kwenye mji wa kibiashara?Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!
Kama hii? Antilia (building) - WikipediaHii ni nchi. Haiwezi kwenda kwa utashi wa mtu mmoja. Dodoma was declared as capital city in early 70's. By the way, ile ya Dar is not a state house. Kwa baadhi ya nchi kama US, ile ni residence tu ya one tycoon.
Whatever, hata wakikaa Musoma na Chato, sisi tunataka aondoe MAAFA YA JIWE ALIYOYASABABISHA NCHI HII... mengine baadayeDar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!
FactHii ni nchi. Haiwezi kwenda kwa utashi wa mtu mmoja. Dodoma was declared as capital city in early 70's. By the way, ile ya Dar is not a state house. Kwa baadhi ya nchi kama US, ile ni residence tu ya one tycoon.
Mama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama poriniDodoma ndo mji mkuu, anavyorudi Dar anaharibu, tanzania kwa ujumla itaendelea endapo mji mkuu ukaheshimiwa, maana siku za mbelen soko kuu la tanzania likiwa dodoma ndo maendeleo yenyewe hayo yatakuwa
Hapataendelea kama panakimbiwa, kama wanataka kurudi basi wabadili Dsm iwe mji mkuuMama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
Wewe utabaki wapi?Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!
Dom pahovyo sn, abaki Ndugai na genge lakeMama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
Acha utoto anapaswa kuwa Dodoma makao makuu ya nchi na si vinginevyo,kwa hiyo unataka rais wetu awe anawafuata wafanya biashara na si wao wamfuate alipo? Tafadhari usimdharirishe rais wangu pls.Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!
Wakae Dodoma au Wakae Dar vyote sawa tu..Dar es salaam ndio jiji lililobeba uchumi wa nchi likiwa limesheheni wawekezaji wa kila sekta.
Dodoma ni jiji lililo katikati ya nchi hivyo linaweza kutumika kuratibu vita dhidi ya umaskini nchini.
Inapendeza kuona Rais Samia akibaki Dar es salaam akiimarisha mahusiano ya ndani na nje ya nchi huku akisimamia kwa karibu ukuaji wa uchumi uliotetereka hadi 4.7%
Naye Dr Mpango akibaki Dodoma kusimamia angamizo la umaskini na utunzaji wa mazingira ya nchi yetu.
Mungu ibariki Tanzania.
Kazi Iendelee!
Mara ya mwisho wewe kwenda Dodomailikuwa lini? Tunaomba watu wa Daresalama mtuelewe serikari haipo kwa ajiri ya kuwahudumia wafanya biashara,serikari ipo kuwahudumia watanzania wakiwemo wafanya biashara,kwa maana hiyo serikali haiwezi kurudi Daresalama eti kwasababu wanaenda kuhudumia wafanya biashara hilo moja, pili tambua kuwa viongozi wetu wanapaswa kuuishi umasikini wetu,kama watatoka Dodoma kwa sababu eti wanazikimbia shida za Dodoma na sio kuzitatua huo utakuwa mwanzo wa mapambano mapya ya kusaka viongozi wanao faa. ila nijuavyo mimi ilikuwa rahisi kuacha mchakato wa katiba mpya na sio kuacha mchakato wa kuhamia dodoma,hii ni sawa na kutest sumu kwa kuilamba hayupo atakaye thubutu tafsili nyepesi ya kurudi Dar ni kurudia anasa na si vinginevyo over.Mama arudi tu Dsm na wengine wafuate.....Dodoma ni mji ambao hautaendelea kamwe...yaani hapa ulipo ndiyo umefika mwisho na ndiyo maana hata wawekezaji ,wageni wa maana huwezi kukutana nao Dom ...ila Dar unakutana nao kila kona.....hakuna shughuli yeyote ya kiuchumi inayovutia wawekezaji kule Dodoma ...hivyo hata itumike nguvu kiasi gani mji utabaki vile vile kama porini
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
Dunia Ni mapito