Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,185
- 13,760
WAZO ZURI SANA,SI VIBAYA IKULU YA DODOMA IKAWA POSSESSED ZAIDI NA MAKAMU WA RAIS,NA HII YA DAR ES SALAAM IKAKALIWA ZAIDI NA RAIS,ILI IWEZE KUMSAIDIA KU ACCESS MAMBO KWA URAHISI ZAIDI,PIA LOGISTICALLY NI RAHISI KWA KILA MOVEMENT.
(Hii iko karibu na Zanzibar,hivyo inauwakilishi mzuri zaidi wa muungano) Na Rais tuenaye ni wa muungano,hiyo iliyoko bara iwe na uwakilishi mzuri zaidi na bara.
Hoja dhaifu sana,ungeandika tu kwa herufi ndogo kuanzia mwanzo.