Hamuoni inavyopendeza Rais Samia akiwa Magogoni na Dkt. Mpango akibaki Dodoma?

Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
Kaka Lema hakukubali ile picha ya kujilaza juu ya mawe ipite hivi hivi, alirusha mafataki mitandaoni, haya maisha ni mafupi sana aisee.
 
Nimekuelewa bwashee!
 
Ukweli mtupu
 
Kwani kinachokuumiza ni nini!? Nchi haiwezi kukaa katika hali ya dharura bila sababu ya msingi!! Sasa hivi kuna e-government!! Popote MTU anaweza kufanya kazi!! Huko Dodoma sawa ila sioni tatizo kuwa dar!! Kama hao Tanesco shirika LA umma walikuwa na haraka gani ya kuongeza gharama ili wawe Dodoma!? Poorly planing kuwajazia wateja gharama!! Wizara ilitosha kuwa dodoma
 
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
Piga moja kama vire sina time na rikamera....
 
Mkuu acha ujinga ,enzi hizi sio za mawe kwani mtu anaweza kufanya kazi akiwa popote hata kama ni Makunduchi, lakini maamuzi ya Dodoma kuwa makao makuu ni ya kiserikali na kikatiba na sio matakwa sijui ya bahari sijui pwani la hasha ndio maana kulikwa na CDA labda umezaliwa wakati wa simu za mkononi ndio maana unademuka sana.
 
Wakae Dodoma au Wakae Dar vyote sawa tu..
La muhimu kupita yote ni kwamba lile lishenzi Meko halipo..na halitarudi milele..
Nchi nzima ina furaha hahahaha.
Jua hata wazazi wako waliokulea ni washenzi ndio maana umekosa adabu,jua hata wewe mwenyewe utakufa kwa siku usiyojua .
 
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
Ila Kuna watu mnazingua sana. Ndo maana hili taifa Kama tumelaaniwa itakua ngumu Sana kutoka hapa tulipo kwa sababu ya watu Kama nyie serikali kuhamia Dodoma ni Jambo zuri kwa sababu duniani kote Kuna miji ya kibiashara na miji ya kiserikali e.g U S A Wana New york na D.C kwaio unabeza juhudi za mtu kwenye Jambo flani lenye Nia njema inakua sio poa hata Kama hukumpenda but show some little respect
 
Alafu unakuta we jamaa una familia eti ila maisha haya.
 
Utakuwa ulisha chukua chako,kazana bwana,maana utakuwa genius kumzidi Nyerere aliye asisi mpango huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…