Hamuoni inavyopendeza Rais Samia akiwa Magogoni na Dkt. Mpango akibaki Dodoma?

Dah...mbona mna haraka?...mpeni Mama muda afanye kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hata Sura zao pia zinaonyesha kuwa ya Mama akikaa Bzharini Magogoni Dar es Salaam anapendeza na ya Mpango akibakia Ikulu ya Kijijini ( Shambani ) Chamwino Dodoma anapendeza maradufu.
 
Dodoma ndo mji mkuu, anavyorudi Dar anaharibu, tanzania kwa ujumla itaendelea endapo mji mkuu ukaheshimiwa, maana siku za mbelen soko kuu la tanzania likiwa dodoma ndo maendeleo yenyewe hayo yatakuwa
Soko kuu la nini? Haitakuja itokee Dodoma iwe kama Dar. Itakuwa kama ilivyo Lagos na Abuja, J'burg na Pretoria, Sao Paul na Brasilia; Shanghai na Beijing.
 
Soko kuu la nini? Haitakuja itokee Dodoma iwe kama Dar. Itakuwa kama ilivyo Lagos na Abuja, J'burg na Pretoria, Sao Paul na Brasilia; Shanghai na Beijing.
Una matatizo
 
Hahaha, Bwashee unawachokoza watu wa "legasi", hujui kuwa mojawapo ya "legasi" ya bwana yule ni kuhamia Dodoma? Ila bwana yule alikuwa na visa sana, yeye starehe yake ilikuwa kujilaza kwenye yale mawe ya Dom na kupiga picha!!!
Mada inaongelea kingine wewe unaleta kingine!

Huyo mtu wa legasi mimba aliyokuachia ilete tuilee mkuu maana naona umeshindwa kabisa kumsahau.
 
Dar haina mipango miji, ni jiji la hivyo. Ni aibu kubwa Ikulu ya Nchi kuwa kwenye jiji bovu. Dodoma kuna nafasi ya kuupanga mji vizuri kabisa. Hakuna haja ya kurudi Dar.
 
Hongera kwa kuliweka vizuri hili, hata Australia kuna shughuli ziko Canberra na zingine ziko Sidney. Dodoma haina haiba ya kubeba taswira ya Tanzania.
Naunga mkono hoja
 
Naona Mama ndio kaipa kisogo Dom
WAZO ZURI SANA,SI VIBAYA IKULU YA DODOMA IKAWA POSSESSED ZAIDI NA MAKAMU WA RAIS,NA HII YA DAR ES SALAAM IKAKALIWA ZAIDI NA RAIS,ILI IWEZE KUMSAIDIA KU ACCESS MAMBO KWA URAHISI ZAIDI,PIA LOGISTICALLY NI RAHISI KWA KILA MOVEMENT.
(Hii iko karibu na Zanzibar,hivyo inauwakilishi mzuri zaidi wa muungano) Na Rais tuenaye ni wa muungano,hiyo iliyoko bara iwe na uwakilishi mzuri zaidi na bara.
 
Hiyo CDA ya akina Rage?
 

Nigeria wangekuwa na mawazo kama yako Mjii Mkuu wa Abuja usingejengwa,mpaka leo wamgebaki wamebanana Lagos,kwani Wawekezaji wakienda Dodoma kuonana na Rais wanalazimishwa kuwekeza Dodoma? Aliko Dangote alionana na JK Magogoni Dar wakati anataka kuwekeza,mbona alikwenda kuwekeza Mtwara na si Dar alipoonana na Rais? Hoja yako dhaifu sana.
 
Dodoma atabaki makamu wa Rais inatosha!
 
Kaka Lema hakukubali ile picha ya kujilaza juu ya mawe ipite hivi hivi, alirusha mafataki mitandaoni, haya maisha ni mafupi sana aisee.

Btw mbona Jasiri Lema hataki kurudi sasa,si mambo yako shwari kabisa,nini kinamfanya bado aendelee kuishi “ukimbizini”? Au ndiyo ilikuwa njia ya kuwatapeli Wazungu ili wakamhifadhi ale pesa ya bure kwa mgongo wa “mkimbizi wa kisiasa”? Ukiwa Tapeli kamwe hutoacha hata upate cheo gani,tabia huwa aibadiliki asilani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…