Hamuoni inavyopendeza Rais Samia akiwa Magogoni na Dkt. Mpango akibaki Dodoma?


Hoja dhaifu sana,ungeandika tu kwa herufi ndogo kuanzia mwanzo.
 
Kuhamia Dodoma ni maamuz ya hovyo mno kuwahi kufanywa , hata hvyo unahtaji kuwa na IQ kubwa Sana kuelewa kuwa ilikuwa ni total wastage of money
 
JKNyerere kama angefufuka leo na akaulizwa whether kuna haja ya kwenda Dodoma given globalization na information technology iliyopo I bet angesema hapana tusiende Dodoma kwa vile sababu zile zilizopelekea maamuzi haya ZIMEPITWA na wakati.

Nyerere hakuwa king'ang'anizi ndiyo maana akaandika na kitabu cha TUJISAHIHISHE.

Pengine Mwendazake angeshirikisha watu kwenye Cabinet yake watoe mawazo kwa uhuru basi Dodoma ingebakia makao ya Bunge, TAMISEMI labda na Waziri Mkuu au Ongeza na Kilimo ambazo tayari zina miundo mbinu yao tayari.

Haya maamuzi yake binafsi ya kutaka sifa na hizo ten percent za ujenzi yana athari kubwa kiuchumi
 
Pesa yetu ambayo imeshatumika mpaka sasa ni kubwa sana, zaidi ya 3/4 ya serikali ipo Dom kwa sasa ujenzi wa majengo ya wizara na idara za serikari kwa sehemu kubwa yamesha kamilika halafu mtuambie turudi Dar kwa kutumia akili gani za juu au za chini? watanzania hatujafikia level hizo za ujinga! na laiti mngejua kwa nini ni dodoma na si Dar wala msingeanza kupiga hilo debe la kitoto, hata hivyo napotezanguvu zangu bure maana mnalo lipigia debe haliwezekani aslani hayupo atakaye thubutu.
 
Tupo e-government no issue, watu hawaendi ulaya wanafanya mikutano kwa zoom iwe Dodoma!! Twende kidigital ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…