Hamuwezi mkatangaza Maandamano mapya Desemba 9, 2025 halafu mtake Lissu aachiwe. Jaribuni kuwa Strategical katika Mipango yenu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Nikiwa nawachana kwa kuwaambia Ukweli badala ya Kukubali makosa yenu na Kunielewa mnakimbilia Kunitukana, Kunidhihaki na Kunishambulia.

Hivi Logically tu baada ya kutangaza Maandamano mengine tarehe 9 Desemba, 2025 tena huku mkitishia na kuweka mikakati yenu wazi Mitandaoni mlitegemea kweli leo hii Tundu Lissu aachiwe? Mbona mnakuwa hamna Akili hivi?

Hivi mnajua kuwa msingeanza tena haya Matangazo yenu ya Kuandamana tarehe 9 Desemba, 2025 huenda mngerahisisha hata Tundu Lissu kuachiwa leo kama ambavyo Yeye mwenyewe pia alikuwa akitegemea?

Kwakuwa hamna Akili sasa ngojeni leo niwachane kwa kuwapa Ukweli Mchungu ili mbadilike.

Kwa taarifa yenu kama kuna Kosa kubwa mnalolifanya ni kupanga Mikakati yenu Kiuwazi kabisa ya kupambana na Dola kitu ambacho technically kinawarahisishia Wao kujua jinsi ya Kuwakabili.

Lingine hata katika huo Upangaji wenu wa hii mikakati yenu ambayo kila mara Inabuma tu pasipo kujua Kwenu mnawajumuisha hata na Maadui zenu ndani kitu ambacho mmeshindwa kukijua.

Kwa mfano Mitandaoni kote sasa kuna Watu wa Mikakati wamepandikizwa na wanachokifanya ni kuja na Mada za Maandamano yenu hayo na kutia Chuki ili tu kupata Maoni ya wale Team Mihemko na Bendera Fuata Upepo kisha wao wanajua kila mlipangalo.

Mlichobahatika hasa ni kuwa tu Wahamasishaji hodari wa Maandamano na kutoa Matamko ya Mikwara Mbuzi ila bado hamna Strategists wa kufanikisha Mipango yenu hiyo.

Hakuna ambaye hajui kuwa Tundu Lissu ana Ushawishi mkubwa mno na kwa kilichotokea tarehe 29 Oktoba, 2025 kama leo angeachiwa basi angeweza kusababisha Jambo lingine Kubwa (Zuri au Baya) kutokea ambalo pengine pia lingeweza kuwa baya Kwake binafsi hivyo kwa maana nyingine hata hii Kesi yake Kuahirishwa ina faida fulani Kwake japo ukiwa Mvivu wa Kufikiri (Mpumbavu) huwezi kuliona kwa hii Angle nyingine ya Kifikra.

Ushauri wa bure na wa Thamani kabisa nawapeni leo kuwa acheni kutangaza au kuweka wazi mikakati yenu, tafuteni Strategists wa uhakika, acheni kutoa Matamko ya Vitisho na yaliyojaa Visasi vya Mihemko (kutoka kwa Keyboard Warriors) bali Hekima na Busara zinahitajika zaidi kukabiliana na Jambo mnalolitaka na kamwe siyo Vurugu, Fujo na Vita hata kama limewagharimu ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi au kwa kutokujua Wenzetu ambao mpaka sasa idadi yao kila Mtu anayo yake Kichwani mwake.

Kwa wale mtakaonielewa Asanteni na tupo pamoja na kwa wale ambao hamtanielewa na mtatanguliza Chuki, Hasira na Mihemko juu yangu na kuamua Kunitukana nanyi pia nitawashukuruni ila nina uhakika hii Dozi itawasaidia na mkitulia kabisa na kuelewa yote niliyoyaelezea hapa basi nawahakikishieni hii Vita ya Kihaki mtaishinda Kiurahisi bila ya hata ya Kuwatajirisha bure Wauza Majeneza Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa, Morogoro na Dodoma.

Nimemaliza.
 
Bla bla bla tupu
 
Ujinga mtupu.

Waambie waliokutuma kwamba nchi itakombolewa tu.

Iwe leo ama kesho lazima tuikomboe nchi yetu kutoka mokononi mwa wezi,mafisadi,wauaji na watekaji.

9D tunatoka jipangeni.

Kama ambavyo mipango yetu tuliiweka wazi Oct 29 na tukaandamana na kufanikiwa pia sasa tunaiweka wazi kama mbwai iwe mbwai.
 
Trending ya nyuzi za huyu mwandishi kabla ya maandamano na baada ya maandamano na hata kuhusu habari ya maandamano mapya ya tarehe 9 December inaonyesha kabisa mwandishi either ana chuki na wanaodai/wapigania haki au ni ass licker wa watawala.

Gentamicin, unasomeka hivyo kupitia fingerprints unazoziacha kwenye nyuzi zako. Unatabirika sana.

1. Hakuna mtu anaomba tundu lisu aachiliwe Wala kutia huruma juu ya hao unaowatetea- Tunataka haki ishinde,siyo huruma.

2. Ishu ya maandamano ambayo unaidharau kama walivyofanya watawala nyuma Ina -ve impact kwa watawala kuliko waandamanaji. Ndiyo maana maandamano yaliyopita walitumia nguvu kubwa hadi kulipia vipimdi kwenye tv na maredio na kulipa wenye ushawishi ili wazime ila yalifanikiwa mbali na mbwembwe zote za watawala za kutisha watu.

3. Nyuzi zako nyingine za nyuma unamjadili "mtu Fulani" kuinjinia maandamano. Jibu si kweli. Muda wa watanzania kuamka umefika. Hili ni vuguvugu la uamsho. Si swala la Fulani.

4. Kilichotokea 29 October kimeharibu taswira ya Tz nje.

5. Vijana hawaogopi kufa kama wewe unavyodhani. Kwa ushahidi wa hilo angalia video za maandamano na video za mazishi za waliokufa. Utagundua Kuna ujasiri umeongezeka. VITISHO vyenu havina maana yoyote kwa vijana wa gen z.

6. Ukitingisha soda kisha ukaifungua italipuka.

Watawala walijaza na wameongeza kujaza hasira mithili ya gesi kwenye soda na itazidi kulipuka. Hili waambie wenzio kuwa jambo ni bichi sana,safari ndiyo imeanza.

7. Mwandishi Unaijua " The Black Swan"?
 
Kenge gani aliyekuambia habari ya chadema,soma alama za nyakati hata yaliyopita ni ya wananchi raia wasiobagua vyama,ila waliotambua maana ya uzalendo,vinginevyo utseme umetumwa na nani,wale nyonya damu ama wewe nyonya damu wa kujituma ama wakutumwa?
 
Umenikumbusha jamaa mmoja hivi hapa jf anajiita mtibeli. Kabla ya MO29 alijifanya mchambuzi wa masuala ya maandamano kama wewe. Sasa hivi simuoni
 
Maandamano na malengo ya maandamano hayapaswi kuwa siri. Unaweka wazi kusudio la kuandamana ili kumpa mlengwa fursa ya kujirekebisha.
 
Nikiwa nawachana kwa kuwaambia Ukweli badala ya Kukubali makosa yenu na Kunielewa mnakimbilia Kunitukana, Kunidhihaki na Kunishambulia.

Hivi Logically tu baada ya kutangaza Maandamano mengine tarehe 9 Desemba, 2025 tena huku mkitishia na kuweka mikakati yenu wazi Mitandaoni mlitegemea kweli leo hii Tundu Lissu aachiwe? Mbona mnakuwa hamna Akili hivi?

Hivi mnajua kuwa msingeanza tena haya Matangazo yenu ya Kuandamana tarehe 9 Desemba, 2025 huenda mngerahisisha hata Tundu Lissu kuachiwa leo kama ambavyo Yeye mwenyewe pia alikuwa akitegemea?

Kwakuwa hamna Akili sasa ngojeni leo niwachane kwa kuwapa Ukweli Mchungu ili mbadilike.

Kwa taarifa yenu kama kuna Kosa kubwa mnalolifanya ni kupanga Mikakati yenu Kiuwazi kabisa ya kupambana na Dola kitu ambacho technically kinawarahisishia Wao kujua jinsi ya Kuwakabili.

Lingine hata katika huo Upangaji wenu wa hii mikakati yenu ambayo kila mara Inabuma tu pasipo kujua Kwenu mnawajumuisha hata na Maadui zenu ndani kitu ambacho mmeshindwa kukijua.

Kwa mfano Mitandaoni kote sasa kuna Watu wa Mikakati wamepandikizwa na wanachokifanya ni kuja na Mada za Maandamano yenu hayo na kutia Chuki ili tu kupata Maoni ya wale Team Mihemko na Bendera Fuata Upepo kisha wao wanajua kila mlipangalo.

Mlichobahatika hasa ni kuwa tu Wahamasishaji hodari wa Maandamano na kutoa Matamko ya Mikwara Mbuzi ila bado hamna Strategists wa kufanikisha Mipango yenu hiyo.

Hakuna ambaye hajui kuwa Tundu Lissu ana Ushawishi mkubwa mno na kwa kilichotokea tarehe 29 Oktoba, 2025 kama leo angeachiwa basi angeweza kusababisha Jambo lingine Kubwa (Zuri au Baya) kutokea ambalo pengine pia lingeweza kuwa baya Kwake binafsi hivyo kwa maana nyingine hata hii Kesi yake Kuahirishwa ina faida fulani Kwake japo ukiwa Mvivu wa Kufikiri (Mpumbavu) huwezi kuliona kwa hii Angle nyingine ya Kifikra.

Ushauri wa bure na wa Thamani kabisa nawapeni leo kuwa acheni kutangaza au kuweka wazi mikakati yenu, tafuteni Strategists wa uhakika, acheni kutoa Matamko ya Vitisho na yaliyojaa Visasi vya Mihemko (kutoka kwa Keyboard Warriors) bali Hekima na Busara zinahitajika zaidi kukabiliana na Jambo mnalolitaka na kamwe siyo Vurugu, Fujo na Vita hata kama limewagharimu ama kwa bahati mbaya au kwa makusudi au kwa kutokujua Wenzetu ambao mpaka sasa idadi yao kila Mtu anayo yake Kichwani mwake.

Kwa wale mtakaonielewa Asanteni na tupo pamoja na kwa wale ambao hamtanielewa na mtatanguliza Chuki, Hasira na Mihemko juu yangu na kuamua Kunitukana nanyi pia nitawashukuruni ila nina uhakika hii Dozi itawasaidia na mkitulia kabisa na kuelewa yote niliyoyaelezea hapa basi nawahakikishieni hii Vita ya Kihaki mtaishinda Kiurahisi bila ya hata ya Kuwatajirisha bure Wauza Majeneza Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, Kilimanjaro, Iringa, Morogoro na Dodoma.

Nimemaliza.
We TAHIRA Nani kakwambia haya ni maandamano ya Lisu
 
Kenge gani aliyekuambia habari ya chadema,soma alama za nyakati hata yaliyopita ni ya wananchi raia wasiobagua vyama,ila waliotambua maana ya uzalendo,vinginevyo utseme umetumwa na nani,wale nyonya damu ama wewe nyonya damu wa kujituma ama wakutumwa?
Kenge ni Wazazi wako waliokuzaa Kenge Mtoto Wewe.
 
Back
Top Bottom