S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Dec 15, 2025 #1 25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3. Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha kuisimamisha Dar kwa muda. Katika sakata hilo Hamza alifanikiwa kuwapeleka peponi polisi 4, na kuwajeruhi 6. Hebu fikiria kungekuwa na akina Hamza 4 siku hiyo!! Hamza alifikia hatua hiyo baada ya kunyang'anywa na kudhulumiwa madini yake na polisi, ambapo alifuatilia kwa muda mrefu bila ya HAKI yake kupatikana. Hivyo Kuna haja tarehe 25 August ya kila mwaka kuwa siku ya kumkumbuka mwamba huyu kwa maandamano. Hamza aliamka mapema kabla ya watanzania wengine.
25 August 2021 mwamba mmoja aitwaye Hamza Mohammed aliifunga Dar kwa muda wa masaa 3. Akiwa na leso tu ya kujifutia jasho mkononi mwake, aliweza kuwanyang'anya bunduki polisi kisha kuisimamisha Dar kwa muda. Katika sakata hilo Hamza alifanikiwa kuwapeleka peponi polisi 4, na kuwajeruhi 6. Hebu fikiria kungekuwa na akina Hamza 4 siku hiyo!! Hamza alifikia hatua hiyo baada ya kunyang'anywa na kudhulumiwa madini yake na polisi, ambapo alifuatilia kwa muda mrefu bila ya HAKI yake kupatikana. Hivyo Kuna haja tarehe 25 August ya kila mwaka kuwa siku ya kumkumbuka mwamba huyu kwa maandamano. Hamza aliamka mapema kabla ya watanzania wengine.