Hamza aombewa kila kona

Hamza aombewa kila kona

Cha msingi alikipata alichokitafuta, na waliomdanganya ataenda kula uroda wa mahururain 72 , walimwingiza chakike badala ya kuufahidi uroda FUNZA NDIO ZIMEMGEUZA URODA kwa kutafuna na kuingia kila sehemu ya mwili wake
π‘°π’Œπ’Šπ’‡π’Šπ’Œπ’‚ π’›π’‚π’Žπ’– π’šπ’‚π’Œπ’ π’˜π’‚π’π’‚ 𝒇𝒖𝒏𝒛𝒂 π’‰π’‚π’˜π’‚π’•π’‚π’Œπ’–π’‚π’„π’‰π’‚ π’‘π’Šπ’‚.. π‘΅π’Š π’˜π’‚π’Œπ’‚π’•π’Š 𝒕𝒖 𝒏𝒂 π’Œπ’Šπ’π’‚ π’Žπ’•π’– π’‰π’–π’π’π’…π’π’Œπ’‚ π’Œπ’˜π’‚ π’”π’•π’šπ’π’† π’šπ’‚π’Œπ’†.
 
Na yule wa marekani aliyeua watoto 19 na walimu 2 utamuita jina gani?
Hivi ile barabara ya selander bridge ilivyo bize vile angeamua kuua RAIA ANGEUA RAIA WANGAPI?
kumbuka alikuwa na bunduki 2
Huyu alikuwa Gaidi full stop.
 
Sifa ya gaidi awe na ndefu ndeefu ila yule wa marekani aliyeua watoto 19 sio gaidi maana hakuwa na ndevu.
Inahitajika ELIMU SANA
Mtoa mada huyo alikuwa bosi wako nini maana mnateteana magaidi.
 
Na yule wa marekani aliyeua watoto 19 na walimu 2 utamuita jina gani?
Hivi ile barabara ya selander bridge ilivyo bize vile angeamua kuua RAIA ANGEUA RAIA WANGAPI?
kumbuka alikuwa na bunduki 2
Ugaidi hauna sura wala tabia wala Rangi Umri jinsia Ugaidi ni Ugaidi tu
 
Polisi wetu hawana weledi, hawakuwa na sababu ya kumuua mtu aliyejisalimisha!! Walitakiwa wamchukue na kumuhoji na hapo wangejua mengi kuhusu motive yake ilikuwa nini?
Hakujisalimisha kabisa huyu jamaa.

Kwa sababu ile clip inaonesha vizuri kwamba hata baada ya kunyanyua mkono juu aliendelea kulenga pale alipohisi kuna askari na wala hakutupa silaha chini alikuwa nazo.

Hamza hakujisalimisha huko sio kujisalimisha katu,hoja ya kujisalimisha isiletwe

labda tuseme wangetumia mbinu nyingine kadri wawezavyo ili kujua nini sababu akiwa bado hai
 
Hamza hakujisalimisha huko sio kujisalimisha katu,hoja ya kujisalimisha isiletwe

Hamza alifia wapi , Kibandani au Barabarani? Hapo barararani alikuwa na silaha? Alifyatua risasi akiwa kibandani mpaka magazine ikakauka baada ya hapo ndio atatoka bila silaha la kulala barabarani; baadae akiwa hapo ndiyo walipomuua!!
 
Hukuona tukio ndugu yangu.

Hamza hakupata kulala barabarani hata mara moja ISIPOKUWA baada ya kupigwa risasi na askari hapo ndipo alianguka.

Solution ilikuwa qtupe silaha zote chini ainue mikono juu hhiyo ndio kujisalimisha.

Lakini yeye hakuna muda alionekana hana silaha wakati yupo hai.

Kama unacho kipande kikionesha hamza hana silaha yoyote basi kiweke hapa tukione,unacho mkuu ?
Alifyatua risasi akiwa kibandani mpaka magazine ikakauka
Utakufa kwenye battle wewe kwa uzembe huu,mtu ambae hujui kajaipanga vipi unasemaje magazinw imekauka ?

Mtu bado amekumbatia silaha hutakiwi kusema kwamba magazine imeisha,unajuaje kama anazo nyingi je si anakumaliza ?
 
Hivi wewe uliangalia lile tukio kweli!? Mbona watanzania tunakuwa watu wajuajia wa ovyoo sana.
 
Wewe mwehu tatizo lako uliangalia clip zilizokwisha tengenezwa mimi niliona live kwenye luninga!! Hamza amekufa hana silaha mkononi!
kwamba kuna video zilitengenezwa.

aiseee!!!!
 
Back
Top Bottom