Usifanya mchezo na JF utavuliwa nguo!!! Haya SAFUHER huyo Hamza hapo barabarani silaha iko wapi nyie askari wahunii!! Mlimuua kwasababu angewaumbua na ufisadi wenu mnaoifanyia nchi hii na Hangaya bado anamchekea Sirro!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika??Huyu alikuwa Gaidi full stop.
Siku akiwasilisha huko hayo malalamiko yake ndio itakuwa siku yake ya mwisho kuonekana duniani.Mkuu umeandika vyema sana na umeonesha weledi katika uandishi wako ila niko na maswali kwako.
Hizi taarifa umeziwasilisha sehemu husika yan kwa wakubwa zake hasa kwa ocs wa wilaya? Umeziwasilisha kwa mkuu wa kituo cha polisiii?
Kama bado fanya hivyo maaba kwenye jukwaa leru hapatoshi tu kuwasilisha malalamiko yako na yakaonekana na walengwa ulowakusudia.
Rai yangu kwako haya uloyaandika ukiyawasilisha kwa ngaz husika utapata mwongozo mzuri.
Dah nimekosa cha kuandika.Siku akiwasilisha huko hayo malalamiko yake ndio itakuwa siku yake ya mwisho kuonekana duniani.
Wewe unajua na mtoa mada anajua pia, ukute hao viongozi wake wa kazi wanajua huo mchongo na kuna -% wanagawana.
Mtoa mada amechukua tahadhari zote kwa usalama wake, na mm namshauri asiende physically huko kwenye mamlaka kutoa malalamiko yake.
Atapotea na hataonekana tena duniani, afande Gerald hayupo peke yake kwenye hiyo dhulma.