Hamza aombewa kila kona

Hamza aombewa kila kona

Mkuu umeandika vyema sana na umeonesha weledi katika uandishi wako ila niko na maswali kwako.

Hizi taarifa umeziwasilisha sehemu husika yan kwa wakubwa zake hasa kwa ocs wa wilaya? Umeziwasilisha kwa mkuu wa kituo cha polisiii?

Kama bado fanya hivyo maaba kwenye jukwaa leru hapatoshi tu kuwasilisha malalamiko yako na yakaonekana na walengwa ulowakusudia.

Rai yangu kwako haya uloyaandika ukiyawasilisha kwa ngaz husika utapata mwongozo mzuri.
Siku akiwasilisha huko hayo malalamiko yake ndio itakuwa siku yake ya mwisho kuonekana duniani.

Wewe unajua na mtoa mada anajua pia, ukute hao viongozi wake wa kazi wanajua huo mchongo na kuna -% wanagawana.

Mtoa mada amechukua tahadhari zote kwa usalama wake, na mm namshauri asiende physically huko kwenye mamlaka kutoa malalamiko yake.

Atapotea na hataonekana tena duniani, afande Gerald hayupo peke yake kwenye hiyo dhulma.
 
Dah nimekosa cha kuandika.
Basi acha apige poyoyo hapa jf
 
Back
Top Bottom