Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

Hamza Bendelladj "the smilling hacker"

Huyu hakuwa wa kunyongwa angefaa kuchukuliwa wakubwa kama FBI awasaidie kwenye mbishembishe zao, au hata vodacom mixer tigo
 
Kwaiyo hamza hakunyongwa anatumikia kifungo siyo?
 
Ngoja tusubiri atahukumiwa vipi maana kuiba kwenye mabenki zaidi ya 200 si mchezo!!
 
Sku zote watu wenye uwezo mkubwa Sana , huwa hawako balanced, tulipokuwa skul kuna mwamba alikuwa anapiga A za physics na hesabu , na chemistry , jamaa aligonga A , A, A mpak Necta peke yake , ila Maisha yake jamaa kama hayuko Sawa hv , anaweza kaa wiki nzima hajaoga , na yupo rough rough tuu....
 
Jamaa hakuhukumiwa kifo hata hiyo kutoa msaada kwa wahitaji hakuna ilipothibitishwa!
IMG_20201119_082449.jpg
 
Sku zote watu wenye uwezo mkubwa Sana , huwa hawako balanced, tulipokuwa skul kuna mwamba alikuwa anapiga A za physics na hesabu , na chemistry , jamaa aligonga A , A, A mpak Necta peke yake , ila Maisha yake jamaa kama hayuko Sawa hv , anaweza kaa wiki nzima hajaoga , na yupo rough rough tuu....
Huyo mchizi anaweza kupiga hesabu kichwani muda unaotumika kuoga, hata kwa style ya Hugo Chavez (kuoga mwisho dakika 3 tu), halafu akaona muda unaofaa kabisa kuoga na kubalance shughuli zingine kwa ufanisi kabisa ni kuoga mara moja kwa mwezi.

Halafu kila anapopanga kuoga hiyo mara moja kwa mwezi, anasahau kwa sababu mambo muhimu zaidi yanajitokeza.

Yani mtu ana solve equation ya kuzuia asteroid la kuangamiza dunia nzima.

Yupo 95% katika solution.

Halafu hapo ndipo muda wa kuoga unapoangukia.

Lazima asahau kuoga!
 
Back
Top Bottom