johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #201
Katika miaka ile ya 1980s kupata kadi ya CCM ilibidi mtu aingie darasani miezi 3 kisha afanye mtihani na kufaulu.
Ndio maana wanachama wakongwe wa CCM ni watu makini.
Hata Freeman Mbowe kadi yake ya CCM aliisomea ndio maana anajua sana siasa.
Nyakati zile isingewexekana kuwa na akina Hamza chamani.
Huu utaratibu wa kuingiza wanachama kiholela uliasisiwa na Augustino Mrema alipojiunga Nccr mageuzi akauita " kadi za papo kwa hapo" na CCM wakaiga baada ya kuona Lyatonga anazoa wanachama bila jasho.
CCM ni lazima ijifunze sasa!
Mungu ni mwema wakati wote.