Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Katika miaka ile ya 1980s kupata kadi ya CCM ilibidi mtu aingie darasani miezi 3 kisha afanye mtihani na kufaulu.
Ndio maana wanachama wakongwe wa CCM ni watu makini.

Hata Freeman Mbowe kadi yake ya CCM aliisomea ndio maana anajua sana siasa.

Nyakati zile isingewexekana kuwa na akina Hamza chamani.

Huu utaratibu wa kuingiza wanachama kiholela uliasisiwa na Augustino Mrema alipojiunga Nccr mageuzi akauita " kadi za papo kwa hapo" na CCM wakaiga baada ya kuona Lyatonga anazoa wanachama bila jasho.

CCM ni lazima ijifunze sasa!

Mungu ni mwema wakati wote.
 
EXACTLY....DHULUMA HAIFAI, REST IN PEACE HAMZA
 
Nalikumbuka vizuri sana, ili ku justify kuwa yoyote anaweza kushambuliwa na majambazi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui walilimaliza vp lile tukio.
hahhahahaaaaa[emoji2][emoji2][emoji2] hadi jiwe akaenda hospital hahaaa....yule jamaa angetawala miaka kumi mbona bongo ingekuwa jehanum
 
UjiNga mtupu ambao hauendani na umri wako au ukiwa ccm kichwa kinakosa akili

Usiku mzima wote huu badala utuambie kwann ccm kuna magaidi we unaleta porojo
 
Upambavu wake, umemfanya afe kijinga , na kuua askari wasio kuwa na hatia..

Kama ka dhulumiwa, yeye sio kwanza kudhulumiwa hapa duniani.. Ona sasa, anaicha familia yake kwenye machungu, hana tofauti na mtu aliye jinyonga kisa kaachwa na mpenz wake.
 
Risasi zilikwama humo ktk.mwili wa marehemu ? Dun risasi itakuwa alizabuliwa za kutosha
 

Hamza ni kada wa CCM full stop mengine mbwe mbwe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…