Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hii nchi ina vijana wa hovyooo sana, waliwaza nini hadi wakampa simon siro picha ya uongo n kumwambia hiyo ni ya Cctv cameras
Lakini hata kama IQ ya aliyempa ile picha ilikuwa ndogo, yeye kama yeye alitakiwa kubaini hilo kosa. Mimi naamin mtu mpaka kufikia level ya hiyo nafasi lazima uwe na experience ya kutosha. Hata wasaidizi/washauri wake lazima wawe na upeo mkubwa
 
Hawa wakina Siro walipewa hizo nafasi na Magufuli sio kwa kuwa wana weredi bali ndio yale yale ya kulindana tu
 
Hamza anadai askari wa Sirro wanawaua waislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…