Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Apumzike Kwa Amani Hamza, Nitachora tattoo yako begani

Kamanda Siro amenikwaza sana kumwita jamaa mtu wa hovyo
Nakushauri chora nyingine kwenye kinena.
Itakuwa inakukumbusha Mambo mengi sana hasa wakati wa mechi iwe za nyumbani au za ugenini.
 
hili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Angekuwa gaidi kama wale wa Afghanstan, angefagia watanganyika wengi mno kwenye zile bajaji na daladala kama tatu hivi. Magaidi mnawajua ninyi?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile yake kiboko, eti ilipigwa na CCTV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii nchi ina vijana wa hovyooo sana, waliwaza nini hadi wakampa simon siro picha ya uongo n kumwambia hiyo ni ya Cctv cameras
 
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi
Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality
Video ipo siku ya tukio anasema anampigania Allah na alitaja jina la Siro. Aidha umeamua tu kubisha ila video hata humu JF kuna uzi imewekwa.
Subirini siku wakiamua kuua yoyote Yule bila kujali kavaa Sare za jeshi au la ndio mtajenga sanamu vizuri na kushangilia.
 
Najua CCM mnataka kumvisha ugaidi na kufich dhuluma za polisi. Kwanini aliwaacha watu wote including daladala full of passengers akwa target polisi?

Back
Top Bottom