Kashishi yetu
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 3,509
- 3,741
Walifukie tu hilo liuaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushauri chora nyingine kwenye kinena.Apumzike Kwa Amani Hamza, Nitachora tattoo yako begani
Kamanda Siro amenikwaza sana kumwita jamaa mtu wa hovyo
Angekuwa gaidi kama wale wa Afghanstan, angefagia watanganyika wengi mno kwenye zile bajaji na daladala kama tatu hivi. Magaidi mnawajua ninyi?hili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Hamza ni shujaa kweli huoni Sirro anavyoropoka?. Askari wake wameonyesha ushujaa WA kumimina risasi pale alipokuwa amekufa sio alipokuwa hai.IDADI INAYO COMMENT KWA ACCOUNT YA GLOBAL TV INAPONYESHA WANAMWONA HAMZA KAMA SHUJAA
Hii nchi ina vijana wa hovyooo sana, waliwaza nini hadi wakampa simon siro picha ya uongo n kumwambia hiyo ni ya Cctv cameras[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile yake kiboko, eti ilipigwa na CCTV
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
RIP Hamza, Ujumbe utawafikia hata kama wanauficha.Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.
Tukio liko mubashara Global tv!
Hamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
hili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi
Video ipo siku ya tukio anasema anampigania Allah na alitaja jina la Siro. Aidha umeamua tu kubisha ila video hata humu JF kuna uzi imewekwa.Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality
Namtetea hakuwa gaidi,mi pia ni mhanga Wa unyanyasaji Wa makarao.hili Gaidi lilipaswa litoswe baharini, kuna samaki wana njaa kule
Una uhakika?, Tuache dhulmaHamza anajinasibu kumpigania Allah, jamaa lilikua kichwa maji jamani
Hata Bin Laden alikuwa shujaa wa mamilioni duniani.IDADI INAYO COMMENT KWA ACCOUNT YA GLOBAL TV INAPONYESHA WANAMWONA HAMZA KAMA SHUJAA
Video ipo siku ya tukio anasema anampigania Allah na alitaja jina la Siro. Aidha umeamua tu kubisha ila video hata humu JF kuna uzi imewekwa.
Subirini siku wakiamua kuua yoyote Yule bila kujali kavaa Sare za jeshi au la ndio mtajenga sanamu vizuri na kushangilia.
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi
Najua CCM mnataka kumvisha ugaidi na kufich dhuluma za polisi. Kwanini aliwaacha watu wote including daladala full of passengers akwa target polisi?