Lakini hata kama IQ ya aliyempa ile picha ilikuwa ndogo, yeye kama yeye alitakiwa kubaini hilo kosa. Mimi naamin mtu mpaka kufikia level ya hiyo nafasi lazima uwe na experience ya kutosha. Hata wasaidizi/washauri wake lazima wawe na upeo mkubwaHii nchi ina vijana wa hovyooo sana, waliwaza nini hadi wakampa simon siro picha ya uongo n kumwambia hiyo ni ya Cctv cameras