Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili lilipaswa kutupwa baharini kama osama au hata kutupwa porini likaliwe na fisi.Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.
====
Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika makaburi ya Kisutu.
Mwili huo umezikwa baada ya kuswaliwa katika Msikiti wa Mamuur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.
View attachment 1915450
Chanzo: Mwananchi Online
Maelfu yako wapi? Ndio swali languMmekumbuka kumzika na kadi yake Pendwa ya CCM?
Polisi walifanya ilivyotakiwa. Aishie kwa upanga atakufa kwa upangaMkorinto siku ile polisi baada ya kumpiga na mabomu ya machozi walikuwa wanaweza kumpiga risas ya mguu ili kumkamata.lakn wakaamua kumuuwa.msema peke mshindi.ILA HUU NI UKUMBUSHO TU KUWA JASHO LA MTU HALIENDI BURE.
Upuuzi mtupu.Wewe elewa tu kuwa Shaka alikuwepo kumwakilisha Mwenyekiti Samia.
Hao "maelfu" mbona hawaonekani sasa?Hukwenda kumzika kada mwenzio.?
Kadi yake ya chama ameilipia hadi 2035.
Hata sijui....Nikiona mwelekeo huu nasikitika sana. Kwa nini?...
Ulitaka nisifuatilie au?Hongera kwa kufuatilia mazishi ya kiboko wa Polisiccm!
Upuuzi mtupu.
Upuuzi mtupu.Shaka kasema mwenyekiti kaagiza ajengewe mnara wa kumbukumbu kule Chattle. Amesema huyu ndiye shujaa siyo yule aliyekufa kwa corona kama panya.
Kufanya nini? Unabusu mwili wa gaidi! Kapime akili yako ujue status yako mapema kabla hujavua nguo hadharani mwananguNasikitika kuto kuubusu mwili wa Hamza mpaka kazikwa,nimehuzunika sana.
Ndio Mkuu ulisemalo ni kweli inafika muda wananchi uvumilivu unawashinda Polisi wa nchi nyingi ni Vimeo Sana Mkuu,
Kama unakumbuka Yale ya Sudan Polisi kumkingia kifua yule dhalimu Omary Albashir
Lakini mwisho wa siku wakonekana takataka wajeda wakachukua nchi Kwa nguvu
Sijui sahizi wanaishije wanafiki wale au walipinga u turn kuendana na watawala
Vizabi zabina wale hawana wanalolisimamia kazi Yao kupokea amri za wanasiasa uchwara na kuumiza wananchi bila kutafakari maumivu ya wananchi wa hali ya chini
Shame to all Policemen!
Hata wewe utakufa siku iwe kwa korona ama moyo. Unawezakufa ukiwa umejikunyata kinyonge lakini haitokusaidia usife. Fikiria kuna watu waliishi zaidi ya miaka 90 kama Mugabe lakini mwishoe walikufa na kuzikwa. Chaugua tu unavyokufa - kishujaa ama kinyonge. Usimwone Hamza mjinga kwa kufa kishujaa.
Tutamkumbuka Hamza daima kwa ushujaa wake. Alikufa akipigania haki yake. Siyo kama yule aliyekufa kwa corona pale Mzena.
Ccm ndio asili ya chuki ya kitaifa na muasisi wa chuki ni John Joseph pombe magufuliYaani sijui kwa nini tunahubiri chuki. Maoni ya humu yanachukuliwa ama kutoka ufipa au lumumba; yaani misamiti ya chuki tu, eti chagademaa, sukumaagang nk.
Nikiona mwelekeo huu nasikitika sana. Kwa nini?
Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
Fanya mambo mengine achana na Hamza wangu.Kufanya nini? Unabusu mwili wa gaidi! Kapime akili yako ujue status yako mapema kabla hujavua nguo hadharani mwanangu
Wewe ni mama yake au mkewe au nyumba ndogo hadi unakuwa na uchungu na gaidi hivi? Kama ni kati ya hao, pole sana.Fanya mambo mengine achana na Hamza wangu.
R.I.P Hamza.