mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Mkorinto siku ile polisi baada ya kumpiga na mabomu ya machozi walikuwa wanaweza kumpiga risas ya mguu ili kumkamata.lakn wakaamua kumuuwa.msema peke mshindi.ILA HUU NI UKUMBUSHO TU KUWA JASHO LA MTU HALIENDI BURE.
lazima nikuelekeze kijana ili usiendelee kufikiri vibaya kwa afya ya akili yako.
bomu tu la machozi lina launcher yake,ila haikutumika pale ilibidi yule mwamba kachero wa kutoka zanzibar ajitolee kulipekeka.sitakwambia ni kwanini.
risasi yoyote mwilini kwa hamza kumshoofisha ingeamsha hasira zake na kuanza kupiga risasi hovyo,angeua hata wananchi.