Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Mkuu, huyo shujaa wenu alisema wapi ameibiwa madini?

Mbona watanzania wengi mna akili kidogo hivi, mnashikwa akili na stori za mtaani za kuambiwa.

Hakuna mahala huyo gaidi amesema alidhulumiwa na polisi. Mimi sitetei uonevu lakini hakuna mahala kuna records kwamba gaidi hamza alidhulumiwa na polisi ama mamlaka za serikali.

Records pekee zilizopo ni kwamba hamza ni gaidi, alikua anampigania allah, hilo halihitaji ubishi.

Hii kwamba alidhulumiwa ni spinning and twisting tu za magaidi wenzake na hamza kupunguza ile gravity ya tukio alilolifanya.
Wewe ulitaka asemee wapi huo wizi wenu wa madini yake?
 
Wewe hoja kwamba alidhulumiwa madini alikwambia lini?

Mimi nina video footage ikimuonyesha akisema anajitoa mhanga kwa ajili ya allah, sasa wewe kwamba alidhulumiwa alikwambia lini na wapi ama umeisikia wapi?
 
Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.

====

Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika makaburi ya Kisutu.

Mwili huo umezikwa baada ya kuswaliwa katika Msikiti wa Mamuur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.
View attachment 1915450
Chanzo: Mwananchi Digital
Kwa uzoefu wangu mdogo akina Hamza kama sampuli ya watano hivi, si watu wakorofi, ni wacheshi, wapole na watu wa amani sana. As i mourn with the rest for his loss and majorly for the loss of Gallant officers/statemen, would wish to categorically take something positive to learn about this event kwamba tusiokubali dhuluma na uonevu na ikiwa ni mwenye kutunza hasira za ndani na una uwezo wa kushika siraha kama wao basi mbeleni giza zaidi. Mungu tujaalie wepesi kushinda ibilisi wa hasira. Dhamana si ya majigambo wala jeuri. Wapitao yatupasa unyenyekevu na kutumikia.
 
Wewe hoja kwamba alidhulumiwa madini alikwambia lini?

Mimi nina video footage ikimuonyesha akisema anajitoa mhanga kwa ajili ya allah, sasa wewe kwamba alidhulumiwa alikwambia lini na wapi ama umeisikia wapi?
Alijitoa muhanga baada ya kudhulumiwa madini yake, acha upumbavu aisee.
 
Hivyo vi clip vya kutengenezwa? Mtu anaweza kutengeneza vizuri zaidi kuliko hivyo.

Hivyo vinaanguka kwenye kundi lile lile:

The end justifies the means.

Hicho hakiwezi kuchukuliwa kama ushahidi
 
Alijitoa muhanga baada ya kudhulumiwa madini yake, acha upumbavu aisee.
Yani wewe kama hamza hakua anakufukua mtaro basi kuna kitu alikua anakufanya.

Hiyo ya kujitoa mhanga sababu ya kudhulumiwa umeisikia wapi wakati mwenyewe anasema anajitoa mhanga baada ya Sirro kuua waislamu wenzake?

Huyo mume wako mwenyewe anasema anajitoa mhanga sababu ya kutetea waislamu wenzake, wewe unasema alidhulumiwa, hiyo ya kudhulumiwa umeisikia wapi?
 
Mapolisi wapumbavu sana, wanatengeneza video za kuhadaa umma kwamba shujaa Hamza alikua gaidi? Kazi za magaidi hamzioni kule Afganistan?
 
Yani wewe kama hamza hakua anakufukua mtaro basi kuna kitu alikua anakufanya.

Hiyo ya kujitoa mhanga sababu ya kudhulumiwa umeisikia wapi wakati mwenyewe anasema anajitoa mhanga baada ya Sirro kuua waislamu wenzake?

Huyo mume wako mwenyewe anasema anajitoa mhanga sababu ya kutetea waislamu wenzake, wewe unasema alidhulumiwa, hiyo ya kudhulumiwa umeisikia wapi?
Wewe itakuwa unafukuliwa mtaro na sirro, si bure. Rudisheni madini ya shujaa Hamza. Gaidi gani anaua mapolisi pekee tu? Jifunze kuhusu magaidi kule Afganistan, shenzi wewe.
 
Ndio maana nasema lazima hamza alikua anakufira.

Wale walioua polisi 8 kule kibiti na kuchukua siraha na kukimbia nazo pia walidhulumiwa?

Wale waliovamia kituo cha polisi na kuua polisi wote na kuchukua siraha pia walidhulumiwa hawakua magaidi, sio?

Wale waliovamia bank mbagala na kuua polisi na kuiba siraha hawakua magaidi walidhulumiwa?

Wale waliovamia kambi ya jeshi Morogoro (wote waliuwawa), wawili wakiwa wafanyakazi wa tanesco wakiwa na nia ya kuiba siraha pia walidhulumiwa?

Wale waliovamia kituo cha polisi kule mtwara mpakani na kuiba siraha nao walidhulumiwa?

Hao na mumeo hamza MO yao ni moja, kuua polisi kwa kusema polisi inaua wasilamu wenzao.

Hao wote walidhulumiwa, maana na wao walikua wanaua polisi tu.

Yaani mkishafirwa akili zinawaruka, mnatetea tu waume zenu.
 
Wewe form four failure acha udwanzi, ninyi mapolisi elimu ndogo msidhani mnaweza kupotosha kila mtu. Mapolisi majizi yamedhulumu madini yake, ndio sababu ya shujaa Hamza kuwalamba risasi pumbavu ninyi. Huko kufirana ndio kumewasababisha mkashindwa hata kulenga shabaha, zaidi ya risasi 50 kwa mtu mmoja? Kweli?
 
😂😂😂, nilijua tu.

Kwa taarifa yako, elimu yangu sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama anafikiria kuja kua nayo kwa miaka mingi ijayo na hata vyuo nilivyosoma hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakuja kusoma. Hilo la kwanza.

Pili, mimi sio polisi, mimi ni raia naetumia akili kuwaza, kutafakari kwa kuangalia ushahidi uliopo. Mashiga kama ninyi ndio mnashikwa akili na makalio mnajiropokea tu.

Yuko wapi huyo hawara yako? Yeye aliua watu kwa ambush, sio man to man, ndio maana ilipokuja man to man sekunde mbili lilianguka chini kama furushi la mavi, puuuu,. Na kwa taarifa yako hamza alipfika mochwari walimfira.
 
Shahidi wa nini? So unataka familia zingine zizalishe magaidi?
Kwani nani amekwambia yule ni gaidi? Mbowe ndio gaidi na wamemweka mahabusu Sasa wewe nani amekwambia Hamza ni gaidi? Wale polisi walionyooshwa na Hamza ndio magaidi hasa wakifundishwa huo ushenzi na mwigulu. Hamza ni shahidi
 
Hamza Mohamed Hassan aliyefanya mauaji pale Selender bridge anazikwa leo na waislamu na rafiki na ndugu zake.

====

Dar es Salaam. Mwili wa Hamza Mohammed aliyefariki dunia katika tukio la majibizano ya risasi kati yake na jeshi la Polisi amezikwa leo Jumapili Agosti 29, 2021 saa 2:30 usiku katika makaburi ya Kisutu.

Mwili huo umezikwa baada ya kuswaliwa katika Msikiti wa Mamuur uliopo Upanga jijini Dar es Salaam.

Awali mwili huo ulitarajiwa kuzikwa saa 7 mchana katika makaburi hayo, lakini msemaji wa familia Abdulrahm Hassan alisema mwili huo ulichelewa kwa sababu ya kazi ya kutoa risasi zilizokwama.
View attachment 1915450
Chanzo: Mwananchi Digital
Jiwe ashukuru sana Yuko Jehanam Kwa sasa
Hamza angeeendeleza Kichapo huko huko
 
Ndio maana nasema lazima hamza alikua anakufira.

Wale walioua polisi 8 kule kibiti na kuchukua siraha na kukimbia nazo pia walidhulumiwa?

Wale waliovamia kituo cha polisi na kuua polisi wote na kuchukua siraha pia walidhulumiwa hawakua magaidi, sio?

Wale waliovamia bank mbagala na kuua polisi na kuiba siraha hawakua magaidi walidhulumiwa?

Wale waliovamia kambi ya jeshi Morogoro (wote waliuwawa), wawili wakiwa wafanyakazi wa tanesco wakiwa na nia ya kuiba siraha pia walidhulumiwa?

Wale waliovamia kituo cha polisi kule mtwara mpakani na kuiba siraha nao walidhulumiwa?

Hao na mumeo hamza MO yao ni moja, kuua polisi kwa kusema polisi inaua wasilamu wenzao.

Hao wote walidhulumiwa, maana na wao walikua wanaua polisi tu.

Yaani mkishafirwa akili zinawaruka, mnatetea tu waume zenu.
Hii hoja ina maswali ya msingi sana Chifu, naomba wajinga wakifungua uzi wowote ule uwajibu kupitia huu ujumbe, labda utaweza kuedit tu hapo penye ukali wa neno "kuf!r.
 
Kwani nani amekwambia yule ni gaidi? Mbowe ndio gaidi na wamemweka mahabusu Sasa wewe nani amekwambia Hamza ni gaidi? Wale polisi walionyooshwa na Hamza ndio magaidi hasa wakifundishwa huo ushenzi na mwigulu. Hamza ni shahidi
Ulisikia maneno anayoongea? Polisi walimkosea nini? Kuuwa watu wasiokuwa na hatia? Na atakuwa shahidi kweli wa uovu wake kuuwa watu wanaotimiza majukumu yao.
 
😂😂😂, nilijua tu.

Kwa taarifa yako, elimu yangu sidhani kama kuna mtu kwenye ukoo wenu atakua nayo ama anafikiria kuja kua nayo kwa miaka mingi ijayo na hata vyuo nilivyosoma hakuna mtu kwenye ukoo wenu atakuja kusoma. Hilo la kwanza.

Pili, mimi sio polisi, mimi ni raia naetumia akili kuwaza, kutafakari kwa kuangalia ushahidi uliopo. Mashiga kama ninyi ndio mnashikwa akili na makalio mnajiropokea tu.

Yuko wapi huyo hawara yako? Yeye aliua watu kwa ambush, sio man to man, ndio maana ilipokuja man to man sekunde mbili lilianguka chini kama furushi la mavi, puuuu,. Na kwa taarifa yako hamza alipfika mochwari walimfira.
Elimu ya mapolisi inajulikana, acha ukuda. Halafu kuifira maiti ni uthibitisho wa akili ndogo na matumizi ya bange kwa mapolisi, sirro amewaharibu sana huko.
 
Back
Top Bottom