Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

Mapolisi ya Tanzania ni malevi ya gongo na bange, akili ndogo na wababe kwa raia wasiojielewa tu. Shujaa Hamza amewapa fundisho.
Naheshimu mawazo yako sina tatizo kwa hilo. Nimemuuliza tu huyo jamaa aliyesema wamempendelea sana kumzika, kwani asingezikwa ndo wangekuwa wameikomoa maiti?
 
Not at all, hakuna mahali ameacha MAANDISHI kuwa anampigania Allah. Amekufa akitoa indication All pointing to protest against police brutality

Polisi wana la kujibu kuhusu kifo cha Hamza. Wao ndio magaidi na wezi wa dhahabu za Hamza. Uchunguzi wa kifo cha Hamza upewe jopo la majaji. Polisi hawawezi kujichunguza wenyewe.
 
Hata kama ni Allah yawezekana alikua ana waambia Allah hapendi dhulma vile vile, wahusika waache kutenda dhulma

Tatizo watu wanakariri wakiona Allah tu basi wanawaza wanayo jua
 
Hata kama ni Allah yawezekana alikua ana waambia Allah hapendi dhulma vile vile, wahusika waache kutenda dhulma

Tatizo watu wanakariri wakiona Allah tu basi wanawaza wanayo jua
Uko sahihi kabisa, huwezi kusema for certainity kuwa alikuwa nasema Allah akimaanisha kuwa yeye ni ghaid. Labda Allah ilikuwa ya kumuomba Mungu atende haki, awajalie mapolisi watende haki. Wasidhulumu, Yote yawezekana
 
Mauaji yalisababushwa na polisi kutotenda haki, dhuluma! Mungu amuweke Mahali Pema Peponi

Fanya na wewe kujifunza kutumia aina zote za silaha na kunyanganya askari silaha zao ili upate haki yako bila dhulma kama alivyopata hamza🙄
 
Najua CCM mnataka kumvisha ugaidi na kufich dhuluma za polisi. Kwanini aliwaacha watu wote including daladala full of passengers akwa target polisi?
Hata kama angewaacha polisi akawatarget washona viatu Tu bado anabaki Kuwa gaidi Tu...maana ameua watu Na amejichukulia sheria mkononi
 
Hata wewe utakufa siku iwe kwa korona ama moyo. Unawezakufa ukiwa umejikunyata kinyonge lakini haitokusaidia usife. Fikiria kuna watu waliishi zaidi ya miaka 90 kama Mugabe lakini mwishoe walikufa na kuzikwa. Chaugua tu unavyokufa - kishujaa ama kinyonge. Usimwone Hamza mjinga kwa kufa kishujaa.
Ngoja nikuulize swali

Kwanini una sema Hamza kafa kishujaa?
 
Hata wale magaidi wa kibiti, wale walivamia kituo cha polisi huko mbagala na kuua polisi, wale walivamia bank na kuua polisi peke yake na wale walioua askari 8 wote Modus operandi yao ni moja, kuua polisi.

Ama wale hawakua magaidi kisa waliua polisi peke yake?
Swali la msingi ni je, polisi walimdhulumu. Kama walimdhulumu, polisi wana kesi ya kujibu.
 
Hata kama angewaacha polisi akawatarget washona viatu Tu bado anabaki Kuwa gaidi Tu...maana ameua watu Na amejichukulia sheria mkononi
Kesi aipeleke wapi wakati hata Rais ambaye anategemewa kulinda haki zetu, anawaonea watu anaopashwa kuwalinda... (Mbowe mfano mzuri), Kesi yake angelimpelekea nani?
 
Kila mwanadamu atakufa. Siri kuu ni utakufaje.

Alivyokufa yule aliyetangulia na huyu hamza naye amekufa.

Wote wamezikwa. Kumbukumbu lao litabaki.

Hamza Kwaheri son!
 
Back
Top Bottom