Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Remote,
Tatizo kipaji nilikuwa sina sikuweza kufikia viwango.
Lakini wenzangu wengi walifika hadi kileleni kabisa.

Ikawa wao wakitoka timu ya taifa na Adidas mpya
mie wananitupia za zamani na bukta zao.

Wengi wa rafiki zangu hawa wametangulia mbele
ya haki.

XYMqEZSvBNSeDI8mZr7OhmACjYvF4WT99rs2LcaiqXMCMS6x_hLORu5seB5leFdlssXArDeKke2by_QNcO1dPyQnN8Zb8C0zI_jIg71u8-UvNTiLw5v52TYhQ5sFIQ58nFhNO-WZS9VzjRCjNMexWZlXxYTq5mw66eNIG0LqE-5aUwDt8rHl2uv_egLqWlyEmfOS5SK4eQeUakfA0L6G1YQdQWTf7tMlVbRSeiO73gSQmlaLhok0A-dAuR0aiCMdU2N6MT7VfNF9BT3P-UO9GsAb_fy7rsnROpJooTHHPNeD72hcer6iIE-T4yRaSxpunWv5U7d4lNntWPDvZUt2zrS_tcm4HjGl4E3ELI-pDbiWIeMeTBESVpoeSrcegPIwrPNwvcX6tIT4r4laIIOrDXEX-G0DMnzoL0C-807aitYLU3-zThSvaeYhHcLbml8i5RwlwDgEfNJ4PB891wJmlr1BT61KGFBRS4OC3mJXsV02-FJrmFBoNMYQogUwY3RiOjsipFztKJTD6CF-cwWnmGBzvZ6xqpWW-AZMBZX7YGY7AW73BTkEA7L_hwfIHl61GIWqb-hOTwjHuzIFd6CpS3GKj8iyyfr5=w596-h657-no

Wapumzike kwa amani.
 
Mzee Muhammed nimekupata juu ya lengo la uzi wako ni kuonyesha ulimwengu mchango wa akina sykes ktk kupigania uhuru ambapo walisahaulika kwa bahati mbaya au maksudi
 
Hebu tujaribu kufikir vingine kwamfano wakina Abdul Sykes wangekuwa wakatolik au Wakristo ingekuaje? Watawala wangewafuta kwenye historia? Ya mapambano ya kuleta uhuru hahahahahaha kafir kafir tu hawez kupenda maendeleo ya Waislam kila kukicha makanisa na viongoz wa din na wengne wapo kwenye mpambano wa kuuchafua Uislam hilo liko waz
Hata history ya TANU imepotoshwa kwa kuwa wanaharakat wengi walikuwa Waislam
Mtu akifanya kizur apongezwe kwa alicho kifanya sio kwa kuwa ni Din flan...ndio maana wanataka kumpa utukufu nyerere kwa kuficha madhaifu yake
Km waislam walimweka madarakan na kumsapot awaongoze kwann hilo lifichwe na km aliwasalit waislam huo ni uzaifu wake japo kuna meng amefanya mazur
Napata picha kwa nn Babu yangu alikuwa akimchukia Nyerere nilisikia kwa ndugu japo sikuwahi kuongea nae nikiwa na akil za utu uzima nilikuwa mdogo
Mbali na kumkamta babu yangu na kumweka ndani kwa kuwa tu anamali wakat hakufanya kaz serikalin alikuwa mfanya biashara ila utawala wa Nyerere ulimfunga na kumfilis
Haina haja ya kumtukuza na kumpamba mtu sana wakat nyuma ya pazia kuna negative nyng
Niliwahi kwenda Kilwa,,(kivinje,,na Masoko) kwashuhuli zangu ila niliyoyakuta kule ni zaid ya umasikin wazee waliokuwepo kwenye mkutano wa Nyerere walimsikia akisema ntaigeuza Bara kuwa Kusin na kusin kuwa Bara ndio kilichofanyka kwakuwa Kilwa ilikuwa na maendeleo sana mpaka ilikuwa ikijitegemea kila kitu. Kwahyo ikilichofanyka Tz kwa Nyerere ni zaid ya hiz sifa anazopewa
 
Mzee Muhammed nimekupata juu ya lengo la uzi wako ni kuonyesha ulimwengu mchango wa akina sykes ktk kupigania uhuru ambapo walisahaulika kwa bahati mbaya au maksudi
Kashata,
Historia hii si ya akina Sykes peke yao.

Unajua katika historia ya uhuru na historia ya asili ya vyama vya siasa
Tanganyika huwezi ukaitafiti na kuandika kwa uhakika bila kuitaja AA.

Huwezi kuitaja African Association bila kumtaja Kleist Sykes.

Huwezi kumataja Kleist bila kuwataja watoto wake kwa kuwa wote
walishiriki katika uongozi wa African Association na kisha kuasisi TANU.

Lakini pia ukiwaleta hawa wanae itakubidi uwalete vijana wenzao wa
wakati wao waliokuwa katika siasa kama Hamza Mwapachu, Dr.
Kyaruzi,Tewa Said Tewa, Zuberi Mtemvu, Dr. Michael Lugazia,
Dossa Azizi, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dustan
Omari, Dr. Luciano Tsere, Kasella Bantu
kutaja majina machache.

Lakini tena na hili lina nafasi ya peke yake hutoweza kuwafikia wazee
kama Jumbe Tambaza, Mwinjuma Mwinyikambi, Mshume Kiyate,
Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Tatu
biti Mzee, Bi. Titi Mohamed
na wengineo bila kupita kwa Abdul Sykes.

Haya yote ni kwa kuwa kwa wakati ule Tanganyika inaamka katika siasa
za utaifa hawa ndiyo walikuwa katika uongozi wa TAA na walikuwa watu
maarufu katika mji wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam ya wakati ule Uislam ulikuwa na nguvu sana mgeni yoyote
asingeweza kufanya lolote bila ya kuungwa mkono na watu hawa.

Ukweli ni kuwa bila Abdul, Nyerere asingepokelewa.
Nitakupa mifano miwili.

2rVr9oQSKC6XpsFah3NEki0p81mUtwl_gIkTqbT7HFz8f28_fMqO64mnSyjXDkbkIyo9iEQa-3ldl9fWgxgTB1vYQSHPtSVnw9rHKGplP5WH1sHXMHFeDRreWx7pIuvjHy5PuotUH8V0kgY3i68Wzk9axsetXtwWjQBiuOqiA3tp5cZs58YHDZC0fbD7EOQ1llf0-wQs2fcfpS-HvnEtPACkwRRkFAgWHRO97KpTZtjoodmwaL8JNEZ-3XCChAB70bIa_dVFctsq9f8WVetad_fbh0iY0J1YnzV1vmqWnmw6ECVqFMuf4DRCrKViDe-fKb7UK0T9oRU4WU8YKNfOnDqH13lp_SpnRv80IYzHvq5h9iqsRBvrEC5K71nkOdh5FY-dUj6xpTn491w2scGnyM4ekYUX7_ZG-okcb23Fltp5cngSr6Wu00VaFjcRfttkAQYDwKr43uXcqByQmIt6EjsHh_xRj70R0fEnTIjb6sP3JYTgSdfZdL7uYu2s7XPVIAX74KXlpKXnsyUPWBJcEiMsg1Ag49B61IidngPrvOQJ3V924hgX9z-guEkn_cRXaawkZDh7J16Gfsa-XHi3hVP17oghkm-z=w881-h657-no

Erika Fiah

Mwaka wa 1933 Kleist aligombana na Erika Fiah katika uongozi wa AA
na Kleist akajiuzulu uongozi na Fiah akachukua nafasi ya Kleist ya katibu.

Rais alikuwa Mzee bin Sudi.

African Association haikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na Mzee bin Sudi
ilibidi amwandikia Kleist barua kumsihi arudi katika uongozi.

Barua hii ya mwaka wa 1933 mimi nimeisoma na Mzee bin Sudi ameandika
kwa kuanza na ''Bismillah Rahman Rahim.''

Kleist alirudi katika uongozi.

Mwaka wa 1953 Nyerere alipochukua uongozi wa TAA kutoka kwa Abdul
Sykes
chama kilikufa ikabidi juhudi zifanyike kukiweka chama katika hali
madhubuti hadi kufikia kuunda TANU.

Kwa kuhitimisha.

Chuo Cha Kivukoni kilipoandika historia ya TANU haya waliyajua na ndiyo
maana kitabu kizima Abdul Sykes alikwepwa kutajwa na historia ikaanza na
Nyerere kwani walitambua wakimtaja Abdul na kueleza historia yake itabidi
wamtaje na baba yake na wengine wote kama nilivyoeleza.

Hili hawakulitaka.
 
Mzee ms nimekuelewa vema, mimi naona uje utupatie hostoria na michango yao katika kupigania uhuru wanaharakati wote uliowataja apo juu ili tuweze kuwafahamu kwa undani zaidi
 
Soma kitabu cha Abdul Sykes utasoma yote hayo kwa ukamilifu
wake In Shaallah.
 
Alama Mohamed Said, katika kupitia kwangu maandiko yako mbali mbali mtandaoni na kwingineko nnaona ni kina mama wa Kiislam tu, hata picha hapo juu inadhihirisha hilo, kuwa ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika harakati za kisiasa wakati huo, jee hawa kina mama ambao si Waislam walikuwepo katika harakati na wametengwa na kusahauliwa au walikuwa hawajihusishi kabisa na harakati za kisiasa?

Swali hili pia ni kwa Pasco, Nguruvi3, Nanren, Yericko Nyerere (and the likes).
 
Maalim Faiza,
Nimekusoma...
In Shaallah nawapa nafasi wengine waseme.
 
Alama Mohamed Said, katika kupitia kwangu maandiko yako mbali mbali mtandaoni na kwingineko nnaona ni kina mama wa Kiislam tu, hata picha hapo juu inadhihirisha hilo, kuwa ndiyo walikuwa mstari wa mbele katika harakati za kisiasa wakati huo, jee hawa kina mama ambao si Waislam walikuwepo katika harakati na wametengwa na kusahauliwa au walikuwa hawajihusishi kabisa na harakati za kisiasa?

Swali hili pia ni kwa Pasco, Nguruvi3, Nanren, Yericko Nyerere (and the likes).
Nimejaribu sana kujiuliza na kufuatilia hilo suala ila jibu linakuwa haba kulipata. Bahati mbaya sana limeanzishwa katikati ya uzi. Hili jambo linahitaji mjadala mpana ili kuwatambua na pia wenye kufahamu kama wapo kina mama wa dini nyingine ni vipi nao walishiriki katika harakati za ukombozi wa Tanganyika.
 
Kashata,
Historia hii si ya akina Sykes peke yao.

Unajua katika historia ya uhuru na historia ya asili ya vyama vya siasa
Tanganyika huwezi ukaitafiti na kuandika kwa uhakika bila kuitaja AA.

Huwezi kuitaja African Association bila kumtaja Kleist Sykes.

Huwezi kumataja Kleist bila kuwataja watoto wake kwa kuwa wote
walishiriki katika uongozi wa African Association na kisha kuasisi TANU.

Lakini pia ukiwaleta hawa wanae itakubidi uwalete vijana wenzao wa
wakati wao waliokuwa katika siasa kama Hamza Mwapachu, Dr.
Kyaruzi,Tewa Said Tewa, Zuberi Mtemvu, Dr. Michael Lugazia,
Dossa Azizi, Dr. Wilbard Mwanjisi, Dr. Vedasto Kyaruzi, Dustan
Omari, Dr. Luciano Tsere, Kasella Bantu
kutaja majina machache.

Lakini tena na hili lina nafasi ya peke yake hutoweza kuwafikia wazee
kama Jumbe Tambaza, Mwinjuma Mwinyikambi, Mshume Kiyate,
Mufti Sheikh Hassan bin Amir, Sheikh Suleiman Takadir, Bi. Tatu
biti Mzee, Bi. Titi Mohamed
na wengineo bila kupita kwa Abdul Sykes.

Haya yote ni kwa kuwa kwa wakati ule Tanganyika inaamka katika siasa
za utaifa hawa ndiyo walikuwa katika uongozi wa TAA na walikuwa watu
maarufu katika mji wa Dar es Salaam.

Dar es Salaam ya wakati ule Uislam ulikuwa na nguvu sana mgeni yoyote
asingeweza kufanya lolote bila ya kuungwa mkono na watu hawa.

Ukweli ni kuwa bila Abdul, Nyerere asingepokelewa.
Nitakupa mifano miwili.

Mwaka wa 1933 Kleist aligombana na Erika Fiah katika uongozi wa AA
na Kleist akajiuzulu uongozi na Fiah akachukua nafasi ya Kleist ya katibu.

Rais alikuwa Mzee bin Sudi.

African Association haikuweza kufanya kazi kwa ufanisi na Mzee bin Sudi
ilibidi amwandikia Kleist barua kumsihi arudi katika uongozi.

Barua hii ya mwaka wa 1933 mimi nimeisoma na Mzee bin Sudi ameandika
kwa kuanza na ''Bismillah Rahman Rahim.''

Kleist alirudi katika uongozi.

Mwaka wa 1953 Nyerere alipochukua uongozi wa TAA kutoka kwa Abdul
Sykes
chama kilikufa ikabidi juhudi zifanyike kukiweka chama katika hali
madhubuti hadi kufikia kuunda TANU.

Kwa kuhitimisha.

Chuo Cha Kivukoni kilipoandika historia ya TANU haya waliyajua na ndiyo
maana kitabu kizima Abdul Sykes alikwepwa kutajwa na historia ikaanza na
Nyerere kwani walitambua wakimtaja Abdul na kueleza historia yake itabidi
wamtaje na baba yake na wengine wote kama nilivyoeleza.

Hili hawakulitaka.
Mohamed Said analaumu historia ya Kivukoni kuacha majina ya watu muhimu. Wakati huo huo anafanya kosa lile lile analolaani.

Ukisoma habari nzima amelenga kuwataja akina Sykes.
Kaanza Mwaka 1933 chama kilikuwa chini ya Kleist na kaendelea na mgogoro na Erica

Kaanzia mwaka 1933 makusudi kabisa kwasababu huo ndio mwaka aliofaraiki mwanzililishi wa AA Mwalimu msomi Cecil Matola wa wakati huo.

Na alipofanikiwa kukwepa kutaja jina la Matola kwa makusudi akaingiza jina la Abdul kuendeleza chain ya Kleist. Halafu kaunganisha na Uislam katika azma ile ile

Unaweza kuona historia hii inaruka sehemu muhimu sana kwa vile ipo calculated.

Huwezi kzungumzia AA bila kumtaja Mwenyekiti wake Matola.

Hata hivyo historia haimtambui matola kwasababu si miongoni mwa inner circle ya Mohamed anayotaka ing'are, kamtupa pembeni

Anasema hivi 'Huwezi kutaja AA bila Kelist, na huwezi kutaja Kleist bila watoto wake'

Angalia hapa, kwamba Abdul ni muhimu sana kuliko Matola, na unaweza kuitaja AA bila Matola Mwenyekiti lakini huwezi kukwepa Kleist Katibu!

Dini ya Matola inamfanya irrelevant kwa msisitizo 'Waislam walikuwa na nguvu sana' ili kuonyesha kwanini Matola hakuwa na sababu za kutajwa

Kosa la Kigamboni linasahihishwa na kosa jingine la imani!

Wengi hawaoni hesabu zilizopo, hii haina maana kinachosemwa kila kitu ni uongo, la hasha! Isipokuwa matukio yameandikwa kwa kulenga '' familia tukufu'' ili kupitia hapo inatumbukizwa Imani, kujenga chuki na kuleta farki miongoni mwa jamii

MS usichanganye Imani na azma zako. Uislam ni dini inasimama bila usaidizi wa familia tukufu, na wala hauhitaji familia hiyo kuutangaza.

Na Imani iwajenge wananchi isitumike kuwagawa na kuleta dhalili miongoni mwao.
Lakini pia dini zinasema tuwe wakweli wa nafsi zetu na za wenzetu.

Huwezi kuona, sisi tumejadiliana na MS tunamfahamu azma , nia na lengo lake

Nanren kashata
 
Hahahaha, na hayo ndiyo umeyasoma kwenye kitabu cha Abdul Sykes? Au umekurupuka usingizini?

Jee, umewahi kumsoma Iddi Tosiri?
 
Nguruvi3,
Umeitia nafsi yako hofu ya bure.

Nimeanza na 1933 kwa sababu ya tukio lililotokea mwaka ule.
Sina sababu ya kumkwepa Mwalimu Cecil Matola.

Labda nikueleze jambo.

Katika waasisi wote wa African Association ni Kleist peke yake
aliyeandika maisha yake na kuacha hazina kubwa ya nyaraka
ambazo ndizo hizi zinazotujuza mambo yaliyotokea miaka 100
nyuma.

Labda kama Mwalimu Matola na yeye angeliandika hii leo
hapa tungekuwa tunajua habari zake kama tunavyozijua habari
za Kleist.

Ikiwa unaona mimi nimeruka habari muhimu basi tuandikie na
sisi tutasoma.

Umegusa imani.

Msikilize Kleist anasema nini kuhusu Wakristo katika siasa za wakati
ule.

Kleist katika mswada wake alioandika na ndiyo kutoka mswada huo
mjukuu wake Daisy akaandika: ‘The Townsman: Kleist Sykes’, in
Iliffe (ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, pp. 95-114. anasema
Wakristo walikuwa wachache katika harakati za siasa kwa sababu
walikuwa wakiaswa na kanisa wasijiingize katika siasa.

Hata TANU ilipoundwa ilipata tabu sana kuingia majimbo ya kusini
kwa kuwa hayo ni majimbo ambayo kanisa lilikuwa na nguvu kubwa.

Hii ni histroria na haya yalikuwako hata tukifanyaje hatutoweza kufuta
ukweli huu.
 
Nimejaribu sana kujiuliza na kufuatilia hilo suala ila jibu linakuwa haba kulipata. Bahati mbaya sana limeanzishwa katikati ya uzi. Hili jambo linahitaji mjadala mpana ili kuwatambua na pia wenye kufahamu kama wapo kina mama wa dini nyingine ni vipi nao walishiriki katika harakati za ukombozi wa Tanganyika.
Kwezisho,
Utawatafutia wapi?

Mjadala mpana wa nini na utaufanya na nani ilhali akina Hawa
biti Maftah, Titi Mohamed, Sharifa biti Mzee, Tatu biti
Mzee, Dharura biti Abdulrahman, Halima Selengia, Lucy

Lameck na wengineo kutaja majina machache weshatangulia mbele
ya haki?

Msome Susan Geiger: ''TANU Women.''
Kafanya utafiti huo huna haja ya kuurudia.

images
 
Nguruvi3,
Umeitia nafsi yako hofu ya bure.

Nimeanza na 1933 kwa sababu ya tukio lililotokea mwaka ule.
Sina sababu ya kumkwepa Mwalimu Cecil Matola.

Labda nikueleze jambo.

Katika waasisi wote wa African Association ni Kleist peke yake
aliyeandika maisha yake na kuacha hazina kubwa ya nyaraka
ambazo ndizo hizi zinazotujuza mambo mambo ya miaka 100
nyuma.

Labda kama Mwalimu Matola na yeye angeliandika hii leo
hapa tungekuwa tunajua habari zake kama tunavyozijua habari
za Kleist.

Ikiwa unaona mimi nimeruka habari muhimu basi tuandikie na
sisi tutasoma.

Umegusa imani.

Msikilize Kleist anasema nini kuhusu Wakristo katika siasa za wakati
ule.

Kleist katika mswada wake alioandika na ndiyo kutoka mswada huo
mjukuu wake Daisy akaandika: ‘The Townsman: Kleist Sykes’, in
Iliffe (ed) Modern Tanzanians, Nairobi, 1973, pp. 95-114. anasema
Wakristo walikuwa wachache katika harakati za siasa kwa sababu
walikuwa wakiaswa na kanisa wasijiingize katika siasa.

Hata TANU ilipoundwa ilipata tabu sana kuingia majimbo ya kusini
kwa kuwa hayo ni majimbo ambayo kanisa lilikuwa na nguvu kubwa.

Hii ni histroria na haya yalikuwako hata tukifanyaje hatutoweza kufuta
ukweli huu.
Mohamed katika bandiko umewataja wote na hakuna ushahidi waliacha maandiko.

Kutaka kukwepa ukweli unasema Matola hakuandika kuhusu maisha yake.

Well, kama hakuandika ungemtaja ingetosha. Kilichofanya ukamkwepa ni ukweli kuwa yeye ni Mwanzilishi wa AA kama Mwenyekiti.

Hapa kuna jambo jingine, kwamba licha ya kutojulikana elimu yake ilimsaidia kushawishi townsman kama Kelist kuunda chama

Na hilo linaonekana alipopewa uenyekiti na Townsman kuwa katibu

Inashangaza mchango wa Matola unafutwa kwa hadithi za 1933 baada ya kifo chake ili kuhakikisha Klesit na Familia tukufu inaendelea kusifiwa!

Kuhusu Imani, inategemea nani ameandika na kwa lengo gani.

Sitegemei Daisy aongee jambo zuri kuhusu Nyerere hata siku moja kama ambavyo Mohamed Said na Faiza wangefanya

Harakati za uhuru zinachukuliwa kama za Pwani, ukweli ni kuwa zilisambaa kwingineko

Na hapa tunajifunza jambo jingine, kwamba harakati hizo zilibebwa kwa msingi wa dini na hivyo kukwama kwa miaka 29 chini ya Familia tukufu ya Sykes.

Hakukuwa na broad coalition dhidi ya Mkoloni na hivyo kukatokea mgawanyiko

Miaka ya 1950 Nyerere alikuja na idea mpya. Kubadili TAA kuwa TANU ililenga kuleta broad coalition na inclusion ya different sect of society.

Ilimchkua miaka chini ya 10 kufikia lengo la uhuru.
Mafanikio yake yamejengwa katika elimu, exposure and leadership

Kwavile alikuwa educated na exposure of modern politics aliweza kumbwaga Abdul Sykes katika uchaguzi na kuendelea na transformation za chama kama kuandika katiba

Kuandika katiba ilikuwa ni kuachana na mass movement na kufanya politics kama sehemu ya institution.

Hilo ndilo likawaleta Watanganyika wa dini, kabila , Imani mbali mbali kama kitu kimoja chini ya institution ya TANU ambayo before yeye haikuwepo!

Kutokana na frustrations za kupoteza uongozi na kuona the future ilianza kutoweka, Abdul Sykes akaamua kurudia wazee ili kupata kuungwa mkono.

Ndipo alipomtumia Sheikh Amir kuanza kujenga umaarufu na movement nyingine dhidi ya Nyerere. Hili kalisema MS katika Makala zake alipomnukuu kiongozi mmoja akisema '...mnampa huyu mtu chama mnamjua?"'

MS kaendelea kutueleza '...Sheikh alitoka na kuwaangalia waliokuwa wanamzomea, akasema ipo siku mtanikumbuka''

MS anaonyesha katika maandishi yake Abdul was real frustrated, the last card he could play ni misikitini akimtumia sheikh Amir.

Nyerere hakuvumilia, akamuondoa Amir haraka iwezekanavyo akiwaangalia akina Abdul kwa jicho la karibu. Mtawala yoyote duniani angefanya hivyo.
 
Mzee mohamed said :

Nimekua nafuatilia huu mjadala tokea awali, na nadhani mzee umeona comment zangu kwenye page za kwanza kwanza kabisa!

Mimi ni kijana,

Napia ni Mkristo, lakini nimevutiwa mno na namna ya uandishi wako tokea mwanzo, sijaona udini wala Chuki wala maneno ya kashfa ambayo umeyatoa dhidi yetu wa Kikristo. Kila upande umeupa Heshima!

Ahsante sana.

Nimejifunza, kuamua 'Kuelewa' mtu asipoamua kuelewa basi kamwe hawezi kukubali 'kuelewa' asipoamua kujifunza, kamwe hawezi 'Kujifunza'

Mimi nadhani umeongea kwa upana sana, tulio amua kujifunza na kuelewa , tumekuelewa mzee na kujifunza!

Kazi nzuri mzee said!
 
Si dhani kama kuna mtu anachuki na nyerere bali ukweli ndiyo unaohitajika,wapo waliopata wazo na mori wa kudai uhuru wakati wapo vitani burma,na wazo walilipata kwa bwana aggrey.tujifunze
Hapana chuki ipo kubwa na ya dhahiri.
Tumelumbana sana na huyu mzee na tunamjua vema

Lengo lake ni fitna kati ya jamii, na ili afanikiwe lazima awe na daraja.
Nyerere ni daraja tu ili akamilishe azma yake. Hutamsikia akimsifia hata siku moja kila asiku anatafuta namna ya kumdhalilisha , kashfu, tukukana n.k.

Baada ya hapo daraja linakuwa tayari, anapita kuelekea kule anakotaka

Tunakataa mambo mengi si historia kama ilivyo. Kwanza, lazima tukiri Nyerere ni sehemu muhimu sana ya Historia ya Tanganyika.

kumbuka, kuna sehemu muhimu na sehemu kubwa ni vitu tofauti kabisa.
Na kwamba kumdhalilisha ni kukosa adabu kwa kiwango cha maana

Pili, uhuru wa nchi ilikuwa jukumu la pamoja.
Bila coalition ya Watanganyika pengine tusingefika hapa katika muda huu tunaoongea.

Tatu, tunaheshimu michango ya watu wote, hii habari ya familia tukufu ya Sykes, ni kutaka kuchagua watu muhimu na watu hafifu. Si kweli, kila mtu alikuwa na mchango wake
 
Back
Top Bottom