Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Hamza Mwapachu, Abdulwahid Sykes na Chief Michael Lukumbuzya

Kaabah,
Kuna mtu kamkashifu babu yangu hapa ati aliwekwa kizuizini na Nyerere
kwa ajili ya chokochoko za dini.

Nikamwekea historia ya babu yangu vipi waliachana mkono na Nyerere.

Huyu bwana haya ule uungwana wa kunitaka radhi kwa kumzulia uongo
babu yangu ameshindwa.

Huyu jamaa jina lake Nanren.

Ingia hapa umesome babu yangu na nini alifanya kupambana na na dhulma
za wakoloni.

Wala hakusoma Makerere.
Yeye ni muhitimu wa Ilm ya dini kutoka Zanzibar:
Mohamed Said: KUTOKA JF: BABU YANGU SALUM ABDALLAH

Kuna mwingine anaitwa Nguruvi3,

Anasema Nyerere aliandika katiba ya TANU ati Abdul Sykes yeye
ilimshinda.

Nikamweleza kuwa katiba ya TANU haikuandikwa na mtu yoyote pale
New Street.

Katiba ya TANU ilikopiwa kutoka katiba ya Convention People's Party
(CPP) ya Kwame NKrumah wa Ghana.

Akamkashifu sana mzee wangu Abdul Sykes.
Mimi sisemi kwa utashi wangu.

Mimi hizi habari za katiba alinieleza Tewa Said Tewa mmoja wa wale watu
17 walioasisi TANU.

Ritz kaleta rejea ya Joseph Mihangwa inayoonyesha kuwa hakika katiba
ya TANU ni sawa na katiba ya CPP.

Nguruvi3 toka jana haonekani barazani.
Vijana wana msemo kaingia mitini.

Huyu nae Uncle Jei Jei kaja na Vita Vya Maji Maji hana habari kuwa
Wajerumani walipambana na Waislam.

Nimemwekea ushahidi na yeye vilevile kajificha haonekani hapa Majlis.
Hii ''level ya ignorance,'' katika historia ya Tanganyika kweli inatisha.

Elimu ya historia hawana lakini hawataki kujifunza wamekalia ubishi.
Mzee wangu mwanahistoria Mohamed Said.. hawa watu kwa kukosa ule uzalendo basi wamekuwa si wazalendo,maana hawataki kukubali kuwa wazee wetu kila ukigusa Uhuru unakuta wao ndo vinara, ukigusa majimaji wao vinara..sasa baada ya kujifunza kwa wenye elimu ya historia, wao wanabaki kejeli na kulaumu eti udini, yaani ukweli kwao ni udini na lau ungekuwa udini tunaoleta basi wazee wetu akina Kissenge wasingemchukua mwalimu nyerere hadi Tanga katika Tawasul (dua) kumuomba mungu ushindi dhidi ya vitimbi vya waingereza..lakini uzalendo wa taifa ndo ilikuwa jambo kubwa kwao.
 
Mzee wangu mwanahistoria Mohamed Said.. hawa watu kwa kukosa ule uzalendo basi wamekuwa si wazalendo,maana hawataki kukubali kuwa wazee wetu kila ukigusa Uhuru unakuta wao ndo vinara, ukigusa majimaji wao vinara..sasa baada ya kujifunza kwa wenye elimu ya historia, wao wanabaki kejeli na kulaumu eti udini, yaani ukweli kwao ni udini na lau ungekuwa udini tunaoleta basi wazee wetu akina Kissenge wasingemchukua mwalimu nyerere hadi Tanga katika Tawasul (dua) kumuomba mungu ushindi dhidi ya vitimbi vya waingereza..lakini uzalendo wa taifa ndo ilikuwa jambo kubwa kwao.
Kaabah,
Taratibu tutaisomesha historia ya kweli hadi itaeleweka na mwisho
kukubalika.
 
Alama Mohamed Said nnashangazwa sana na hawa watu. Mnakasha ule wa miaka ya nyuma nilikuwa ninawaambia leteni basi ukweli kama huu si ukweli. Hakuna hata mmoja aliyethubutu. Mwishowe ndiyo kama ulivyoona anakuja mtu anaejiita Ngongo bila aibu wala soni anatwambia kuwa Cecil Matola ni "mwanamama".
Maalim Faiza,
Mimi nawahurumia sana kwa kuupenda ujinga.
Matokeo yake ndiyo hayo.

Unamweleza mtu kuwa soma kitabu fulani angalia rejea fulani.
Anarudi zaidi ya mara elfu na lile lile.

Wavivu wa kusoma hawana ilm ya hifdh.

Ama kweli kama usemavyo sisi tunakwenda chuoni bado watoto.
Wenzetu wanakwenda chuoni baleghe watu wazima.
 
Maalim Faiza,
Mimi nawahurumia sana kwa kuupenda ujinga.
Matokeo yake ndiyo hayo.

Unamweleza mtu kuwa soma kitabu fulani angalia rejea fulani.
Anarudi zaidi ya mara elfu na lile lile.

Wavivu wa kusoma hawana ilm ya hifdh.

Ama kweli kama usemavyo sisi tunakwenda chuoni bado watoto.
Wenzetu wanakwenda chuoni baleghe watu wazima.
Wanamajlis,
Nakuwekeeni hapa kitu msome na mshuhudie jinsi historia ya
Tanganyika ilivyokuwa haina mwenyewe kwa hiyo kuchezewa na
kila apendae:

CHIEF ABDUL RAUF BIN SONGEA MMOJA WA MAJEMADARI WA VITA VYA MAJI MAJI NDIYO HUYU SONGEA MBANO?

Khalidoun,
Haijapata kutokea mnakasha kama ule katika JF.

Hivi ndivyo nilivyofahamishwa na wenyeji walioipokea
barzani.
Wanamajlis,
Naona ukumbi umepoa.
Yuko aliyesema ana maswali kuhusu Nyerere anataka kuniuliza.

Kapotea sijamsikia.

Yuko aliyekuja na mpya kuwa Waislam sio walioanza harakati dhidi
ya ukoloni akataja Maji Maji.

Nikaweka jibu.

Hakuridhika akadai kuwa majibu nimejinukuu mwenyewe kwa hiyo
ni ajua.

451px-Chief_Songea_Mbano.jpg

Chief Songea Mbano

Nikaja na jibu kutola nyaraka za Wajerumani wenyewe waliopigana
na Chief Abdul Rauf bin Songea.

Najua kapata mshtuko kwa kuwa hajapatapo kumsikia Chief Abdul
Rauf bin Songea
katika Vita Vya Maji Maji ingawa inawezekana kuwa
kasikia Chief Songea Mbano.

Najua ametatazika kama wengi wanavyotatazika hivi sasa wakinisoma.
Hawa ni watu wawili au ni mtu mmoja?

Abdul Rauf bin Songea ndiyo huyu Songea Mbano?
Kuchakachua historia kuna hatari zake na hii ni mojawapo.

Hakuwa anajua kuwa Vita Vya Maji Maji Waislam walisimama dhidi ya
Wajerumani.

Majemadari 60 Waislam walinyongwa na kuzikwa kaburi moja Mahenge,
Songea na kumbukumbu ya iko hapo kwenye kumbukumbu ya Maji Maji
Songea.

Katika kaburi la peke yake amezikwa Songea Mbano.
Je huyu ndiye yule Abdul Rauf bin Songea?

Kuna mahali Abdul Rauf bin Songea anaitwa kwa jina la
''Chief Songea Luwafu Mbano.''


Soma hapo chini:

One of these is Chief Songea Luwafu Mbano, from whom
the town takes its name. As the most famous of the Ngoni
resistance leaders, the Germans honoured ...

upload_2016-6-22_15-36-56.gif

Hii ''Lwafu,'' ndiyo Rauf?

Huyo hapo juu kwenye picha ndiye Chief Abdul Rauf Songea Mbano
Jemadari Muislam wa Vita Vya Maji Maji.

Angalia hapo chini ghafla majina ya hawa Waislam hayaonekani badala
yake kuna majina mengine lakini ni ya wale wale Waislam walionyongwa:

Nani huyu anaepotosha haya majina mazuri ya Waislam katika historia
ya Maji Maji?

Sasa soma hapo chini:

''Islam has always been the ideology of resistance against colonial rule or any other authority which tried to subjugate Muslims. Consequently, no government in power either indigenous or foreign has ever been kind or supportive to Islam, and likewise Muslims have always been engaged in a continuous struggle to preserve their faith and fight for their rights. Christianity was resisted by Muslims right from the beginning. In any uprising against the colonial government, Muslims took the opportunity to attack missionaries and Christian establishments. Muslim perceived both missionaries and the colonial government as fellow collaborators and therefore enemies to Islam. Islamic radicalism has therefore a long history in the struggle against colonial rule and Christianity. Christianity became a reactionary force siding with the colonial authority. One needs only to read the letter written by the Chief Songea bin Ruuf at the time when he was mobilising his people for war while at the same time trying to cement alliances with other chiefs in Southern Tanganyika and across the River Ruvuma in Mozambique. This letter written to Sheikh and Sultan Mataka bin Hamin Massaninga reads:
''Sultan Songea bin Ruuf writes: To the Shaykh and Sultan Mataka bin Hamis Massaninga. Greetings, etc. I am sending you a letter throughKazembe. We have received an order from God that the Europeans must leave the country. We are in the process of fighting them here. I believe that we have long since been reconciled,[so] send me your children, so that we may make an alliance. I had wanted to send you some cattle as a gift, but am not able to do so, as the war which God desired is continuing. Send me a hundred riflemen, and support me in storming the Boma (Songea).

I am also sending you a flask of the Prophet Muhammad, which contains the means for conquering the Europeans. Have no doubt about it, it possessed great power. And when we have taken the Boma (Songea), we shall go on the stations on the Nyasa together, you and I. Now, let us forget our old quarrels.

This bottle, with a da’wa, has been sent by Chinyalanyala himself, the war leader. He also sends the container (kombe), and sends you many greetings.

If your men will come, then Chinyalanyala himself will come and will give you many of the holy things.
Hassan bin Isma’il greets you.

Many salutations,
Sultan Songea bin Ruuf.” [1]

A point to note here is that this letter, beautiful as it is, it is being doubted by Becker, who maintains that the origins of the letter are dubious.[2] This is the stand which many Christian researchers have taken when faced with the realities of Islam in Tanganyika.


[1] C.H. Becker, ‘Material for the Understanding Islam in German East Africa’, Tanzania Notes and Records, No. 68, February, 1968, p.58.
[2] Ibid.
Angalia jina la Kazembe no. 51 na Hassan bin Ismail no, 53 majina ambayo Chief Abdul

Rauf bin Songea kayataja katika barua yake.

Angalia neno ''bin'' katika baadhi ya majina kisha jiulize na wapi likawekwa neno ''bin,'' kwa
asiyekuwa Muislam.

DSC02267.jpg

Kaburi la Chief Abdul Rauf Songea Mbano katika Maonyesho ya Taifa ya Maji Maji
Mahenge, Songea ambae kazikwa kwa jina la Songea Mbano.

Kutoka: Mohamed Said, "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924 - 1968) The Untold Story of The Muslim Struggle Against British Colonialism in Tangnayika, Minerva Press, London 1998."[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Sultan Songea bin Ruuf huyu hapo juu ndiyo huyu anayoelezwa tena hapa chini kama Chief
Songea Mbano?:


"Anasema hali hiyo ilitokea kwa sababu Chifu Songea Mbano alikuwa ndiyo Jemedari Mkuu wa Jeshi la Wangoni na alikuwa ni hodari sana asiyeogopa lolote kwa hiyo Wajerumani walitaka abakie ili wamtumie kwa malengo yao.

"Yeye Chifu Songea alidai na yeye anyongwe kama walivyonyongwa ndugu zake, basi alinyongwa na Wajerumani ambao waliondoka na kichwa chake wakiwa wamekiweka ndani ya kasha kwenda Ujerumani ambako hakijarudi hadi leo na kiwiliwili chake kuzikwa katika kaburi la peke yake."
(Kutoka:Historia Ya Vita Vya majimaji.)
WanajamviNaamini mnaiona tofauti iliyopo.
Au hawa ni machifu wawili tofauti?

Nani anahusika na uchakachuaji huu wa majina haya ya Kiislam katika historia ya Vita Vya Maji Maji?
 

Attachments

  • upload_2016-6-22_15-36-56.gif
    upload_2016-6-22_15-36-56.gif
    43 bytes · Views: 40
Nguruvi3,
Kuna mahali umesema kwa kejeli sana na hii ni bahati mbaya kwako, kuwa
Abdul siasa zake ziliishia Kariakoo.

Nilikupa jibu lakini bahati mbaya kwangu sikuweza kupata rejea kwa wakati
niziweke jamvini kwa manufaa yetu sote.

Nimeipata rejea moja na nakuwekea hapa usome ili uijue vyema historia ya
TANU:

TANGANYIKA POLITICAL INTELLIGENCE SUMMARY, MARCH 1952

image2.jpg

A passenger reading Abdul Sykes book inside a boat traveling to Zanzibar
(Photo taken by Abdulwahid Sykes' grandson of Abdul Kleist Sykes)



"Tanganyika Political Intelligence
Summary, March 1952":

"...it is reported that the Secretary of the Association, Abdul Wahid Sykes has
dispatched letters to all branches asking members for suggestions under
the following heads for a memorandum to be prepared for the Royal
Commission..."

“...Abdul Wahid Kleist Sykes, Secretary of the African Association who, as
reported in last month's summary (paragraph 20) was going on safari up
country, visited Mwanza, where he met Paul Bomani, President of the
Bukoba African Association, and accompanied him to Bukoba. Sykes then
visited Kampala alone.....on 8th March, a secret meeting was held, attended
by leading members of the Mwanza Branch...”

(Hizi ni taarifa kutoka Rhodes House Library, Oxford kutoka majalada ya
kikachero ya Waingereza baada ya miaka 50 yanawekwa wazi kwa mtafiti
yeyote kuyasoma na kufanya nakala akipenda.)


ABDULWAHID%2BSYKES%2BBOOK%2BCOVER%2B%281%29.jpg
Naomba Academic CV ya Abdulwahid Sykes...!
 
@
Naomba Academic CV ya Abdulwahid Sykes...!
Ndakilawe,
1942 akiwa na umri wa miaka 18 alitokea wa kwanza mtihani wa Cambridge na kupata admission ya Makerere lakini hakwenda badala yake akawa conscripted katika King's African Rifles (KAR) na akaingizwa katika Burma Infantry baada ya mafunzo Lower Kabete, Kenya. Baada ya vurugu za African Association alipata admission Princeton University, New Jersey lakini pia hakwenda.
 
Mag3,
Mimi nisingekujibu kama usingenitaja.
Umeweka CCM kama utambulisho wako.

Mimi nitaanza na hapo.
CCM inatokana na TANU na TANU inatokana na TAA.

TAA ilikuwa African Association hadi 1948 ilipobadilisha jina na kuwa TAA.
Kleist Sykes ni muasisi wa AA na alikuwa si tu kiongozi akiwa katibu bali
alikuwa mfadhili mkubwa.

Mwanae Kleist, Abdulwahid alikuja na yeye kama baba yake kuwa kiongozi
wa TAA akiwa katibu (1950), katibu na kaimu raisi 1951 - 1952 kisha akawa
kaimu rais 1953 Nyerere akiwa rais.

Kama baba yake, Abdul alikuwa kiongozi na mfadhili wa TAA na TANU.
Lakini kubwa Abdul akaja kuwa mmoja katika wazalendo 17 walioasisi
TANU 1954.

8jKk6xiFtefW3grKr3QMi9qmFfX_TrVV_Dt-BBKmLfjusKDjS7li2PldQRheXl3MAGyDtHH3M3_eExXPD9vr4acuWHIcmF3UdmaSQYmM51b3SFidwjy0Y1mF_hCzWjJtqn2AP5zULfTQYGnteacseube_ef3BN_oJxDD6Z2nePFh7ZxiO1w2nJkpdfTCyLyQHoTLuIwPp-J0834McLhK3igLQ6wjm2E75wum9SfB3vRijgApUdo0JgesKDCqWycxNGAId928FIxgBtbgh7ihPsrotB8jmrECTBVOgfKGxru_0Gw53tyxL5kSIA6PmwfzT6x0wdl-slvS0kiP8f8JdRvaB4ok16mrI2mbibbfhxfmO9MGcnUsPIQFeB756LYbpqYV_cOSn-H2xhVrowwM1Il3gkp5UJJ5bBFrlr8u7HKNzdwEYzEM_NMye8buRzIWUOLhYhVsE8F4JabQRQmw0IVraZ4iPPkx6XLCZJClBwy3qojfBU_VB1XE6IMB3x44U0mv5q81I6veWmsaVkB3_Dr_tRrBeMRvmN-tQmM4odlZwLtWrCACME3Dbr3Hjv43RZ1-9diy10yszG8WYvJ-ecI69iWGSQmm=w876-h657-no

Abdulwahid Sykes ni huyo wa nne kulia aiyevaa miwani ya jua

Si haya tu hata hiyo nyumba ambayo leo ndipo yalipo makao ya CCM Dar es
Salaam alijenga Kleist Sykes na Abdul akifuatana na baba yake siku za
Jumapili wakati huo mtoto mdogo wa miaka mitano alishuhudia ujenzi wa
nyumba hiyo.

Nyumba yenyewe ndiyo hiyo hapo chini katika sherehe ya kufungua ofisi
ya AA mwaka wa 1933:

2016%2B-%2B1


Huu si uongo si hadithi wala si ngano.

Huu ni ukweli ambao kwa bahati mbaya unawachoma roho wengi kwa kuona
mbona haikuwa sisi tuliofanya haya?

Ikiwa wewe au yeyote yule wa mfano wako ana taarifa nje ya hiyo hapo juu
na aje barzani tujadili.

Sioni kosa gani Maalim Faiza kafanya kwa kukutag kwani sote tukijadiliana
hapa kuhusu historia ya nchi yetu kimezidi nini leo hata wewe kuhamaki?

Hakika mila yenu moja.
Unajinasibisha na CCM unawachukia waliounda TANU?!

3-rjJEmaZOPQdkW-wVg75pQnMmRzHFy1njQ3gymG47NNg7CfX3DejX_Eqv5NOcVBXIC0Lzh4rCwahBv7TUNR-r9rkRbDzWRypTTKHZNWQ8uo-Babq6xCo1a9woATFZilI05MzGv8uS4Ki27c7Z-mxAohMVqwEdPzG3cbm0h_rzkYc6mM90duTZ8ZZ6OmMbRg5uyS7Hg_ybM5fNurpkaCF5CJExEgojYNs_NGtvf5AZFPJ5szV3QoWXHFGKqwNit0houpVcYCdY4CYXk5ZN57cQjBvuA-ZI1IxY3TzGXTS7GIhImGkY8ogBhk073Cu7lresTLVfJUMLdoR5z0aQv8wyqd8NKHFzYn6vPSI-mfP9RkLIyfVFXY7Jr7B---oairPwn4PoKtbYF7GlmkJRGD8IH_wbbkqSoDBmLyRFROqH80lHDBlopueGjvDftC-qJxm9pJxHm7LVXLSb1vvyg2jzsJnbCyOxTmVPVH53gwhFe_EGnEfdlcJZP-nbR_mtYxvwSDJ06kLvEDN7NomM0x0NmaVku8K1_GJXqCci-jChhDtPsrKQLFCTZo0lcBIIVUgXz3WAAgR7TDA7-z_hxBdqR_vDnVFvpl=w876-h657-no

Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Avenue

Ajabu ya Rahman.
Shonde huishia tahayuri.
Maalim Mohamed Said naomba kufunzwa zaidi kwenye hili andiko lako la BABA WA TAIFA DOLA NA DINI TANZANIA

Katika ukurasa wa 7 kuna sehemu umeandika "Hadi kufikia mwaka wa 1960 kanisa lilikuwa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopelekwa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi lina hodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio na magazeti.

Kanisa limekuwa na nguvu ya udhibiti wa mambo kiasi kwamba wakati mwingine watendaji, hasa Wakristo katika serikali na ndani ya chama tawala CCM hawajui utii wao upo kwa nani, serikalini au katika Kanisa?"

Mzee wangu kama hutojali naomba kujuzwa zaidi hapo kwenye Msururu wa ndege binafsi na viwanja vya ndege:-

Hizo ndege binafsi zilikuwa zikifanya biashara ya usafirishaji au zilikuwa binafsi kwa maana ya kuhudumia kanisa na kueneza Injili,
Naweza kupata majina ya hizo ndege?

Pia, kwenye umiliki wa viwanja vya ndege ni mikoa ipi ina hivyo viwanja, je bado vinatumika mpaka sasa?

Kwa sasa naomba msaada zaidi kwa haya, nitarudi nikipata ukakasi...

Wasalaam,
Mwandwanga
 
Hiyo siyo Acade
@

Ndakilawe,
1942 akiwa na umri wa miaka 18 alitokea wa kwanza mtihani wa Cambridge na kupata admission ya Makerere lakini hakwenda badala yake akawa conscripted katika King's African Rifles (KAR) na akaingizwa katika Burma Infantry baada ya mafunzo Lower Kabete, Kenya. Baada ya vurugu za African Association alipata admission Princeton University, New Jersey lakini pia hakwenda.[/QUOTE

Hiyo siyo academic CV! Ni hekaya za kusisimua

Kuna sababu yoyote kwa nini alikataa scholarship? KInachoonekana hapa kwenye huu uzi, ni kuonyesha kuwa waislum walikuwa na brain nzuri! Nimesikitika pia baad aya kuona uzi huu umekaa kidini...!

Nimechukia sana, na ninachukia watu wadini sana...!

Sorry to say that...!
 
Hiyo siyo Acade
Ndakilawe,
Uniwie radhi sana kwa kukosa kukupatia hicho ulichokihitaji.
Hilo la wewe kunichukia mimi si jambo geni hata kidogo.

Ungenishangaza sana kama ungesema unanipenda.

Ama hilo la udini ukiwa unamaanisha Uislam hujakosea hata
kidogo kwani hiyo ndiyo sifa yangu kuu na naipenda sana.
 
Maalim Mohamed Said naomba kufunzwa zaidi kwenye hili andiko lako la BABA WA TAIFA DOLA NA DINI TANZANIA

Katika ukurasa wa 7 kuna sehemu umeandika "Hadi kufikia mwaka wa 1960 kanisa lilikuwa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopelekwa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi lina hodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio na magazeti.

Kanisa limekuwa na nguvu ya udhibiti wa mambo kiasi kwamba wakati mwingine watendaji, hasa Wakristo katika serikali na ndani ya chama tawala CCM hawajui utii wao upo kwa nani, serikalini au katika Kanisa?"

Mzee wangu kama hutojali naomba kujuzwa zaidi hapo kwenye Msururu wa ndege binafsi na viwanja vya ndege:-

Hizo ndege binafsi zilikuwa zikifanya biashara ya usafirishaji au zilikuwa binafsi kwa maana ya kuhudumia kanisa na kueneza Injili,
Naweza kupata majina ya hizo ndege?

Pia, kwenye umiliki wa viwanja vya ndege ni mikoa ipi ina hivyo viwanja, je bado vinatumika mpaka sasa?

Kwa sasa naomba msaada zaidi kwa haya, nitarudi nikipata ukakasi...

Wasalaam,
Mwandwanga
Mwandwanga,
Ili tuwe na mjadala mzuri unaochunga mipaka ya hoja yaani ''dermacation.
Maalim Mohamed Said naomba kufunzwa zaidi kwenye hili andiko lako la BABA WA TAIFA DOLA NA DINI TANZANIA

Katika ukurasa wa 7 kuna sehemu umeandika "Hadi kufikia mwaka wa 1960 kanisa lilikuwa taasisi kubwa inayomiliki mamilioni ya dola ya misaada inayopelekwa kutoka wahisani na wafadhili walioko katika ulimwengu wa Kikristo. Kanisa sasa hivi lina hodhi mahospitali, misururu ya ndege binafsi, viwanja vya ndege makampuni ya uchapaji na mitambo ya kupiga chapa, stesheni za radio na magazeti.

Kanisa limekuwa na nguvu ya udhibiti wa mambo kiasi kwamba wakati mwingine watendaji, hasa Wakristo katika serikali na ndani ya chama tawala CCM hawajui utii wao upo kwa nani, serikalini au katika Kanisa?"

Mzee wangu kama hutojali naomba kujuzwa zaidi hapo kwenye Msururu wa ndege binafsi na viwanja vya ndege:-

Hizo ndege binafsi zilikuwa zikifanya biashara ya usafirishaji au zilikuwa binafsi kwa maana ya kuhudumia kanisa na kueneza Injili,
Naweza kupata majina ya hizo ndege?

Pia, kwenye umiliki wa viwanja vya ndege ni mikoa ipi ina hivyo viwanja, je bado vinatumika mpaka sasa?

Kwa sasa naomba msaada zaidi kwa haya, nitarudi nikipata ukakasi...

Wasalaam,
Mwandwanga
Mwandwanga,
Ikiwa unataka tujadili Kanisa itapendeza sana kama utafungua uzi mpya
ili tusichanganye hoja.

Hapa naomba tuwe na huu mtiririko kama ulivyosoma bandiko langu nikisema
wengi hamuijui historia ya TANU na mmekuwa wagumu kukubali kuwa hamjui.
 
Hebu jisome tena kisha fanya editing ya maandiko yako ueleweke.
Maalim Faiza,
Kuna mlango nilisomeshwa na maalim wangu wa madras
Sheikh Haruna unaitwa kusoma maandiko magumu na
yasiyoeleweka.

Sheikh Haruna akinambia,''Mohamed utakuja kumbuka hili
darsa huko unakokwenda.''

Naam hii leo nikiwa hapa hapa JF nakutana na watu hawajui
kuandika wala kujieleza lakini na wao wanapenda kuchangia.

Basi hurejea kwenye lile darsa la Maalim Haruna nikadodosa
hadi nikamfahamu nini mwandishi kakusudia lakini inahitaji
subra.

Allah mrehemu mwalimu wangu.
Amin.
 
Maalim wangu Mohamed said nilikuwa nipo pembeni napata darsa hakika nimejifunza mengi ambayo sikuyafahamu,In shaa Allah Mwenyezi Mungu atakulipa kwani thawabu za Elimu huzipata hata ukiondoka Duniani.
Maalim naomba kukuuliza kidogo hapa Barzani.kuna picha nimeipata katika pita pita yangu kwa jamaa zangu lakini sikupata maelezo ya kunikinaisha, naiweka hapa kama utakuwa umewahi kuiona au kuwatambua waliopiga picha hii
1466631354457.jpg
 
Mwandwanga,
Ili tuwe na mjadala mzuri unaochunga mipaka ya hoja yaani ''dermacation.

Mwandwanga,
Ikiwa unataka tujadili Kanisa itapendeza sana kama utafungua uzi mpya
ili tusichanganye hoja.

Hapa naomba tuwe na huu mtiririko kama ulivyosoma bandiko langu nikisema
wengi hamuijui historia ya TANU na mmekuwa wagumu kukubali kuwa hamjui.
Alhaji Mohamed Said heshima kwako vijana wengi tumekalia ubishi usikuwa na kichwa wala miguu weka mambo uwanjani wao wa ache wakalie fitna na chuki za kitoto
 
mashujaaa.jpeg

Wazee wa Dar es Salaam katika Baraza la Wazee wa TANU na Mwalimu Julius Nyererekatika Uchaguzi Mkuu wa 1962. Masikitiko ni kuwa mashujaa hawa hadi leo nchi haijawatambua isipokuwa Nyerere peke yake. Kushoto ni Mwinjuma Mwinyikambi, Max Mbwana, Julius Nyerere na Mshume Kiyate, picha ilipigwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1962.
 
Bii Mkubwa salamu kwako, sikubishi hata kidogo hayo usemayo kwenye hiyo picha,ndiyo maana nilipoiona kichwani kulipita maswali mengi na niliwauliza niliyowakuta nayo sikukinaishwa na majibu yao,nikaona nielete hapa hapa Barzani pengine Maalim katika utafiti labda alikutana nayo au kama kuna mwanaukumbi anafahamu kitu juu ya hiyo picha atueleze.
1.Mfano hao wazee kina nani.
2.Wapo na nani
3.kulikuwa na shughuli gani
4.Mji gani
Wallahi ngoja tuvute subira huwenda kuna mwanabodi atajitokeza kutujuza.
 
Maalim wangu Mohamed said nilikuwa nipo pembeni napata darsa hakika nimejifunza mengi ambayo sikuyafahamu,In shaa Allah Mwenyezi Mungu atakulipa kwani thawabu za Elimu huzipata hata ukiondoka Duniani.
Maalim naomba kukuuliza kidogo hapa Barzani.kuna picha nimeipata katika pita pita yangu kwa jamaa zangu lakini sikupata maelezo ya kunikinaisha, naiweka hapa kama utakuwa umewahi kuiona au kuwatambua waliopiga picha hii View attachment 359148

1466631354457-jpg.359148


Mbetini,
Kwanza nakushukuru kwa kuileta picha hii hadharani.
Mimi ndiye mtu wa kwanza kuiona picha hii nje ya wenyewe.

Hii picha nilipewa na watoto wa Sheikh Abdallah Chaurembo
katika miaka ya 1980 na mimi nnilifanya mipango ipatikane nakala
yenye ubora na hilo lilifanyika.

Picha hii ilipigwa 1956 shambani kwa Sheikh Abdallah Chaurembo
Mtoni Dar es Salaam.

Ukoo wa Chaurembo una kawaida ya kufanya hawli kila mwaka na hii
inaendelea hadi leo

Katika hawali ya mwaka ule Mwalimu Nyerere alialikwa.
Pamoja na Nyerere kuna watu wengi maarufu katika picha hiyo.

Nyerere amekaa katika ya Liwali Ahmed Saleh kushoto na Sheikh
Bilal Mshoro
kulia.

Yupo Rajab Diwani, Liwali Ahmed Saleh, Sheikh Bilal Mshoro
kutoka Tabora, Sheikh Ramadhani Abbas, Saleh Muhsin huyu alikuwa
TANU kisha akatoka pamoja na Zuberi Mtemvu kuunda Tanganyika
African Congress (ANC) mwaka wa 1958 kufuatia Uchaguzi wa Kura Tatu,
katika watoto waliokaa chini yuko Said Mahfoudh mmoja wa vijana wa
kwanza kuingia Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam katika miaka ya awali ya
1960.

Hii picha ilipotea kwa miaka zaid ya 20 hata wenyewe akina Chaurembo
wakawa hawana nakala ya picha hii.

Nimefurahi kuiona tena hii picha.
Alhamdulilah.

Nimeiweka picha hii katika blog yangu:
Mohamed Said: KUTOKA JF: HAKUNA PICHA INAYOELEZA HISTORIA YA WAISLAM NA MWALIMU NYERERE KAMA HII
 
Maalim wangu Mohamed Said.
Mimi ndiyo wa kukushukuru wewe,kwa kifupi baada ya kusoma utambuzi wa kwenye hiyo picha nimetoka machozi sijui kwanini wallahi, Sheikh Chaurembo wanae nafahamiana nao sana sikujua kama hii picha walikupa wewe kusema kweli nilipoipata ni Studio ya picha maeneo ya kisutu na nilipewa baada ya kushindwa kuwatambua waliopiga hiyo picha nikaomba nipewe ili kutafuta nani atawatambua na bahati kitandawili umekifumbua ahsante sana. Alhamdulillahi
Maalim Sheikh Bilali Mshoro wa Tabora ni Mzee wangu mmoja wa watoto wake Amefariki
Mwaka huu Mwezi March Marehemu Salehe Mshoro alikuwa Mkurugenzi wa fedha TRA tumesoma wote Tabora,kaka yake ni Prof. Mshoro yupo chuo cha ardhi.
Kingine Said Mahfoudh ni mjomba wangu na nitamtafuta kupata habari zaidi.

Maalim Faiza alisema hii picha “inaongea maneno Milioni" hakika she is absolutely right.
Maalim mi nipo tayari kuitoa kwako hii Amana iliyopotea zaidi ya miaka ishirini uitunze isije kupotea tena.
 
Back
Top Bottom