Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Hiyo inafuatia kujiuzulu kwa Nicola Sturgeon kiongozi wa chama chake cha SNP.
Kwa upande wake waziri mkuu wa Uiengereza bwana Rishi Sunak ameahidi kushirikiana na Humza kwa karibu pindi akichaguliwa na chama chake kuliongoza jimbo hilo la Scotland.