Hamza Yusufu naye kuingoza Scotland

Hamza Yusufu naye kuingoza Scotland

Zamani kulikuwa na ushamba wa kuogopa na kuwatangazia vibaya wenye ndevu.Sasa mambo hayo huenda yamebaki kwenye mataifa ya kishamba shamba pekee. Uiengereza mpaka mrithi wa ufalme ametambua uzuri wa ndevu.
Zaman pia walikataa ushoga ila sasa wana ndevu na kusapoti ushoga
 
Kwanini Kenya nchi maskini wanatupita katika kuzalisha viongozi wa kuongoza mataifa makubwa. Obama wa kwao,Sunak ndio wametoa bibi sisi tukatoa babu .
Kumbe na huyu pia.
Obama kuwa president wa US ilileta manufaa yoyote kwa Kenya? Vivyo hivyo Sunak kuwa PM wa UK haitaleta nafuu yoyote kwa TZ. Tupambane na hali zetu, ili kutoboa Sunak, Obama et al siyo great deal kwetu huku Izumacheli, Kantalamba na Kazulamimba.
 
Tunataka viongozi weusi na Waislamu pale Kremlin, Russia na Beijing, China.
 
Sijakujibu kwasababu wewe ni mjinga? Umeuliza swali lenye jibu

Kila nchi ina kiongozi haijalishi ni kiongozi wa kijeshi,kiimla,kidikteta au kifalme

Tatizo akili huna km hao wenzio wenye pua kubwa wasio ruhusu wasio waislam kuishi uko uarabuni
Unge jibu swali ningekuona ni kijana Mwerevu lakin Nikutakie wakati mwema maana umeshindwa kutaja hata Rais mmoja.
 
Sijakujibu kwasababu wewe ni mjinga? Umeuliza swali lenye jibu

Kila nchi ina kiongozi haijalishi ni kiongozi wa kijeshi,kiimla,kidikteta au kifalme

Tatizo akili huna km hao wenzio wenye pua kubwa wasio ruhusu wasio waislam kuishi uko uarabuni
Umedhihirisha ujinga wako nchi inaongozwa kifalme wewe unataka Urais ni upumbavu wa kiwango cha lami alafu nani kakatazwa kuishi saudi Arabia Mbona wafanyakazi wasio waislam ni wengi tu huko

Au umekaririshwa tu.
 
Wewe tutusa soma comments zangu unielewa
Nimekupa bahati ya kujibu upumbavu wako

Comment ndio nini umefeli kujitetea umekurupuka kutaka Raisi nikakuuliza kuhusu uongozi wa Saudi Arabia unaongozwa vipi na Marais umekuja na blah blah

Ukaja na hoja tena watu hawaruhusiwi kuishi nchi za kiarabu nimekuuliza tena saudi Arabia ni mtu gani kakatazwa kuishi au hujui usemalo kama mlevi
 
Wewe ni tutusa! Then ni mjinga

Sikushangai ukisoma sana icho kitabu ndio unavyozidi kuwa kwenye hatari ya tutusa
Comment ndio nini umefeli kujitetea umekurupuka kutaka Raisi nikakuuliza kuhusu uongozi wa Saudi Arabia unaongozwa vipi na Marais umekuja na blah blah

Ukaja na hoja tena watu hawaruhusiwi kuishi nchi za kiarabu nimekuuliza tena saudi Arabia ni mtu gani kakatazwa kuishi au hujui usemalo kama mlevi
 
Asili Pakistan
Pakistan si Wa mchezo. Waliiba teknolojia ya nyuklia bila kugundulika. Sasa nao wanalipiza kwa mahasimu wao wa jadi India kwa kuweka mtu wao Scotland. (Utani huu...msilipe umuhimu bandiko hili)
 
Back
Top Bottom