Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

luis diaz

Member
Joined
Feb 28, 2022
Posts
86
Reaction score
208
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
 
Nachoyapendea mapenzi yako wazi

Yakiwa freshi ni fresh
Yakiwa na kilaka yanaonekana...

Sasa ukitaka kuona moto anza kujifanya wewe unajua sana kucheza na kilaka utalala na viatu.....

By the way unachokihisi ndicho kilichopo kwa 60%
 
Sasa mke mtarajiwa atakuaje na mmoja nae yupo mawindoni anaangalia nani yupo serious wa kumuoa. Acha ubinafsi huwezi kuwa pekee yako, ya simu yake achana nayo we kula mbususu mengine hayakuhusu. Zaidi utapata maradhi ya moyo utakayoyakuta kwenye simu.
 
Wewe unamuandaa kama mke yeye bado hakuoni kama mume mtarajiwa. Roho yake ipo kwingine.
Kama kweli una lengo la kumuoa fanya maamuzi ya kiume siku moja mpe suprise ichukue simu yake mwambie atoe password uone kilicho ndani akikataa basi uamuzi ni wako utapima kama una mke au ni demu tu.
 
Sasa na wewe, simu yake ya nini? Achana nayo utajipa stress buree
 

Hapo umepigwa
 
Kama kipindi unampigia simu hapokei halafu anakuja kukutafuta baadae kuwa alikua busy au alikua amelala. Basi jua huo muda alikua kwa mwamba mwingine simu ipo silent ndani ya mkoba.
 
Nahisi unawaza kuwa Ana wanaume wengine ??

Ni kweli upo sahihi unachowaza

Tafta mwingne tu huyo hakutazami ww kam mume wa kumuoa
 
Ana mtu mwingine wa ziada..jiandae kisaikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…