Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,920
- 8,675
Kama anakupa kitumbua simu ya nn,kula sepa.Huyo ana watu wengi..usisahau mpira
Hehehehe we Mwanamke umefikia huku.....??? Ushauri gani huu unatoa kwa Binti mwenzako...
Kwamba asiwe kama Wasafwa wa Uyole,,,,wanauza Fuso la Viazi halafu hela yote wanaishia kula Chipsi....