Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Jiondoe tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww chakata mbususu usiwe serious nae. Utanishukuru badaeNina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
Kwema lakini huko? Naona nawe unashauri huyo mtu wake atoswe tu hakuna namna.Kwa kifupi tu ni kuwa huyo mtu wako ni mazoezi, hajawa serious na wewe
Nachoyapendea mapenzi yako wazi
Yakiwa freshi ni fresh
Yakiwa na kilaka yanaonekana...
Sasa ukitaka kuona moto anza kujifanya wewe unajua sana kucheza na kilaka utalala na viatu.....
By the way unachokihisi ndicho kilichopo kwa 60%
KNdoa ni maisha yako...pia kumbuka muda wote huyo utakuwa naye. Je, utaweza kuishi kwa mwendo huo? Kama utaweza fine..kama hautaweza ndugu yangu usilazimishe nafsi...utakuja kujuta. kwa nini mkae mume na mke muwe wasiri hivyo..yaani kila mtu anamambo yake? Matokeo yake kila siku maugomvi. Ndoa iwe sehemu ya furaha asee sio stress!Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
Red flag. Tatizo mkiitwa kwenye vikao hamji. Kila siku vijana wa kiume ndio mnaongoza kuleta nyuzi za kulilia mapenzi.
Mapenzi matamu muhenga mwenzanguSiku akija chukua simu mwambie toa password hata usiposoma SMS contact zitakupa majibu ya maswali yako au what's app ndiko funga kazi, akigoma basi tambua upo kwenye shift yake ya siku hiyo.[emoji1] mapenzi jamani mmm!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nachoyapendea mapenzi yako wazi
Yakiwa freshi ni fresh
Yakiwa na kilaka yanaonekana...
Sasa ukitaka kuona moto anza kujifanya wewe unajua sana kucheza na kilaka utalala na viatu.....
By the way unachokihisi ndicho kilichopo kwa 60%
Atoswe ndio ni mlaghai [emoji1787]Kwema lakini huko? Naona nawe unashauri huyo mtu wake atoswe tu hakuna namna.
Think twice bro!!kabla hujasema ndio mbele ya sheikh,mchungaji au padre!!Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
UnaibiwaNina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?