Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

Hana mazoea ya kushikiwa simu yake

Mkuu sisi wake zetu hatuwashikii simu zao[emoji23] hyo ndo formula ya ndoa[emoji23][emoji23]
 
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
Ww chakata mbususu usiwe serious nae. Utanishukuru badae
 
Siku akija chukua simu mwambie toa password hata usiposoma SMS contact zitakupa majibu ya maswali yako au what's app ndiko funga kazi, akigoma basi tambua upo kwenye shift yake ya siku hiyo.[emoji1] mapenzi jamani mmm!
 
Nachoyapendea mapenzi yako wazi

Yakiwa freshi ni fresh
Yakiwa na kilaka yanaonekana...

Sasa ukitaka kuona moto anza kujifanya wewe unajua sana kucheza na kilaka utalala na viatu.....

By the way unachokihisi ndicho kilichopo kwa 60%

Hapo mko wengi
 
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
KNdoa ni maisha yako...pia kumbuka muda wote huyo utakuwa naye. Je, utaweza kuishi kwa mwendo huo? Kama utaweza fine..kama hautaweza ndugu yangu usilazimishe nafsi...utakuja kujuta. kwa nini mkae mume na mke muwe wasiri hivyo..yaani kila mtu anamambo yake? Matokeo yake kila siku maugomvi. Ndoa iwe sehemu ya furaha asee sio stress!
 
Kaa naye siku moja mwambie mpango wako kwake
Mkishamaliza tulia kwa muda ila usimpe nafasi kubwa ya yeye kufungua simu na aidha kifuta mambo yake humo.yaani mcheki asipate muda wa kuchezea simu na kuanza kufuta vitu humo

Then muite jina la heshima la watu walioko kwenye mahusiano
Mwambie naomba simu yako mara moja kwa heshima
Akikataa..... basi kaa kando
 
Siku akija chukua simu mwambie toa password hata usiposoma SMS contact zitakupa majibu ya maswali yako au what's app ndiko funga kazi, akigoma basi tambua upo kwenye shift yake ya siku hiyo.[emoji1] mapenzi jamani mmm!
Mapenzi matamu muhenga mwenzangu
 
kuna vitu hata kushauri vinatia uvivu.
Unataka muadhini atoke maka aje kukwambia kuwa umekumbatia bomu?
 
Nachoyapendea mapenzi yako wazi

Yakiwa freshi ni fresh
Yakiwa na kilaka yanaonekana...

Sasa ukitaka kuona moto anza kujifanya wewe unajua sana kucheza na kilaka utalala na viatu.....

By the way unachokihisi ndicho kilichopo kwa 60%
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mapenzi Yako open sana

So nijuu Yako kusuka au kunyoa
 
Mwanamke akikupenda Hawezi kufanyia vitendo vya kukupa wasi+

Pia ukitaka uone raha ya mapenzi Hakikisha unapata mwanamke ambaye una m-drive kama gari bovu yaani yupo tayari kufanya chochote kile Ili mradi ahakikishe una Baki ktk maisha yake
 
Kama anakupa kitumbua simu ya nn,kula sepa.Huyo ana watu wengi..usisahau mpira
 
Kumbe ulimuoa baada ya uchumba?wazingua wwww.hauna chako wewe hapo..wewe kula uteleze na uendelee kutafuta ela.
 
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
Think twice bro!!kabla hujasema ndio mbele ya sheikh,mchungaji au padre!!
Kama Bado "hajaachana nao"Kaa mbali kwanza,umchekiiiiii!!
Ndio uamue,utume drone iende ikasambaratishe maadui kama CIA walivyomuua kiongozi wa alqaida.au upotezee!!uame nchi
 
Nina mpenzi wangu ambae namtazamia kama mke wangu mtarajiwa, amekua ni msiri sana kwenye simu yake mara kwa mara akija kwangu simu inashinda kwenye mkoba na iko silent t, hua namtega namuomba simu yake anajibu hana mazoea ya kumpa mtu mwingine simu yake, mm nipo open sana kwake hata simu yangu siifichi kama yeye, hivi simu za wakezenu hua mnazishika kweli?
Unaibiwa
 
Back
Top Bottom