Nas Jr JF-Expert Member Joined May 15, 2018 Posts 7,920 Reaction score 8,675 Aug 6, 2022 #41 to yeye said: Kama anakupa kitumbua simu ya nn,kula sepa.Huyo ana watu wengi..usisahau mpira Click to expand... Hehehehe we Mwanamke umefikia huku.....??? Ushauri gani huu unatoa kwa Binti mwenzako... Kwamba asiwe kama Wasafwa wa Uyole,,,,wanauza Fuso la Viazi halafu hela yote wanaishia kula Chipsi....
to yeye said: Kama anakupa kitumbua simu ya nn,kula sepa.Huyo ana watu wengi..usisahau mpira Click to expand... Hehehehe we Mwanamke umefikia huku.....??? Ushauri gani huu unatoa kwa Binti mwenzako... Kwamba asiwe kama Wasafwa wa Uyole,,,,wanauza Fuso la Viazi halafu hela yote wanaishia kula Chipsi....
Beesmom JF-Expert Member Joined May 30, 2016 Posts 17,202 Reaction score 28,732 Aug 6, 2022 #42 Nas Jr said: Hehehehe we Mwanamke umefikia huku.....??? Ushauri gani huu unatoa kwa Binti mwenzako... Kwamba asiwe kama Wasafwa wa Uyole,,,,wanauza Fuso la Viazi halafu hela yote wanaishia kula Chipsi.... Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🙌
Nas Jr said: Hehehehe we Mwanamke umefikia huku.....??? Ushauri gani huu unatoa kwa Binti mwenzako... Kwamba asiwe kama Wasafwa wa Uyole,,,,wanauza Fuso la Viazi halafu hela yote wanaishia kula Chipsi.... Click to expand... 🤣🤣🤣🤣🙌
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Aug 6, 2022 #43 Huna chako hapo!
Von Bismarck JF-Expert Member Joined Jul 11, 2018 Posts 3,890 Reaction score 8,647 Aug 6, 2022 #44 Mkuu inaweza kuwa kweli anakupenda na anohofia kukupoteza kwa kuhisi utajua mambo yake.. Kiufupi anamichepuko..
Mkuu inaweza kuwa kweli anakupenda na anohofia kukupoteza kwa kuhisi utajua mambo yake.. Kiufupi anamichepuko..
kelphin JF-Expert Member Joined Dec 24, 2019 Posts 9,872 Reaction score 16,319 Aug 8, 2022 #45 W hearly said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mapenzi Yako open sana So nijuu Yako kusuka au kunyoa Click to expand... Wazi afande😁
W hearly said: [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mapenzi Yako open sana So nijuu Yako kusuka au kunyoa Click to expand... Wazi afande😁