Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ila uchawa umefika kiwango kisichokubalika! CCM tayari wameshakusanya bilioni 100, basi michango mingine hiyo ni gani tena?
Uchawa huu mwingie hauna tija yoyote. Ingekuwa bora kama pesa hizo zingeelekezwa kwa wale wenye uhitaji maalum
===============
Chifu wa Wilaya ya Hanang Jemsi Gejaru Gitimay akiambatana na wawakilishi wa makundi mbalimbali ya kijamii kwa niaba ya wananchi wa Wilaya ya Hanang wamemkabidhi fedha Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ajili ya kununua mafuta yatakayosaidia katika kampeni za mgombea huyo.
Akizungumza na waandishi wa Habari baada ya kukabidhi fedha hizo, Chifu Gitimay amesema uamuzi huo umetokana na kuenzi utu aliouonesha Dkt. Samia kwa wananchi wa Wilaya ya Hanang pindi walipopatwa na janga la kuporomoka kwa kifusi ambapo Rais Samia aliahirisha safari yake ya kikazi kwenda kutoa faraja kwa wananchi wa wilaya hiyo.