kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Bwana Yesu anasema ktkwaislamu naomba mnidhihirishie uwepo wa huyo 'mungu' wenu anayesababisha mzike waafrika wenzenu wakiwa hai na kuchinja wengine.....
๐ ๐ ๐ ๐
LUKA 19:27
Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.
Na Akahimiza ktk MATHAYO 10:34 Kuwa " Msidhani kwamba nimekuja kuleta amani duniani. Sikuja kuleta amani bali upanga. Maana nimekuja kuleta mafarakano kati ya mtu na baba yake, kati ya binti na mama yake, kati ya mkwe na mkwe wake
Na KAHIMIZA WAFUASI WAKE KWENYE LUKA 22:36
Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na UPANGA, na auze joho lake akanunue.
Kwahio KUUA KWA UPANGA NA KUCHINJANA tumefunzwa na BIBLIA .
Uliza swali lingine tukusaidie