The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Wananchi wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wa kutoka dini mbalimbali, mapema hii leo wamefanya Dua ya kumuombea Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na kuliombea Taifa.
Akitoa salamu za Mkoa wa Tanga wakati wa mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Mkata leo Februari 23, 2025, mkuu wa mkoa huo Balozi Batilda Buriani amesema mbali na Dua, Wazee wa Wilaya ya Handeni wametoa ngombe 23 ambazo zimechinjwa na wananchi wamekunywa supu ili kusherehekea ujio wa Rais Samia mkoani Tanga.