Handeni: Walimu wanaoga vichakani kwa kukosa bafu

Handeni: Walimu wanaoga vichakani kwa kukosa bafu

Ndo maana siupendi ujamaa, unahimiza uvivu hata wa kufikiri jambo la kawaida tu na kulitolea maamuzi.

Hapo unawaza V8 iuzwe ili lijengwe bafu. Akili za kijamaa kabisa yaani, uvivu tu kutaka serikali ifanye ila mwanachi akae tu sababu yeye ni mnyonge na masikini.

Kwann hujawaza wajiunge waanzishe mradi wa kijiji wa "tokomeza magonjwa jenga choo na bafu" kisha wakawasiliana na viongozi wapate sapoti?

Wakirusha tu kwenye social media wanachofanya wangepata attention ya mbunge, mkuu wa wilaya, mkoa na ingevuka hata mipaka na wangepata sapoti.
Mwananchi akae tu unamaanisha nini? Mwananchi analipa kodi kwahiyo kashatimiza wajibu wake
 
Mkuu umenena vyema, Hawa jamaa matumizi ya akili na busara Ni sifuri!

Mwananchi wa kawaida anajenga nyumba na anaweka choo na bafu Safi kabisaaah, ila watu wenye mishahara yao na Wana access kubwa ya mikopo wanasubir serikali ije iwajengee choo na bafu!!!!

Jinga Sana watu wa namna hii!!
 
Mkuu kama kweli wewe ni Mwalimu na ulishindwa hata kujijengea mwenyewe kibafu hata cha miti na kuweka mawe kwenye sakafu na hapa unajisifia.......inasikitisha
Nimejenga sana bafu za nyasi baada ya kuchoka kuogea vichakani, mkuu unayajua vizuri mazingira ya shule nyingi za vijijini? Kuna maeneo ukipangwa kwenda kufundisha huko unaweza kuacha kazi kwa jinsi mazingira yalivyo.
 
Mwananchi akae tu unamaanisha nini? Mwananchi analipa kodi kwahiyo kashatimiza wajibu wake
Ukiachana na miji mikubwa, Pamoja na wananchi wote kulipa kodi kuna jamii zina maendeleo kuliko mengine.....

Hawa wenye maendeleo hawakuwaza kuwa wamemaliza kazi baada ya kulipa kodi.
 
Mkuu umenena vyema, Hawa jamaa matumizi ya akili na busara Ni sifuri!

Mwananchi wa kawaida anajenga nyumba na anaweka choo na bafu Safi kabisaaah, ila watu wenye mishahara yao na Wana access kubwa ya mikopo wanasubir serikali ije iwajengee choo na bafu!!!!

Jinga Sana watu wa namna hii!!
Jinga kabisa mkuu.
 
Choo na bafu wangejenga TU wenyewe, mambo mengine sio lazima serikali serikali nakat mshahara wanao, nguvu wanazo!!

Kwamba wamekosa hata namna ya kujichangisha hela kuweka mlango wanaona Bora waende machakani na kushare vyoo na watoto was shule??!

Huu Ni uvivu wa kufikir na ubahili wa kupindukia!!
Huyajui haya ndugu yangu stay cool mkuu
 
Yaani, bafu ya kuogea inawapigisha yowe walimu? Hivi wameshindwa kukata hiyo miti ya hivyo vichaka wakajenga ua(bafu-maliwato), wakakata majani wakayatandaza chini, wakaoga, kama wapo New York? Eti choo walimu hakina mlango, huku ni kuitia aibu taaluma ya ualimu? Hiyo shule haina mwalimu wa stadi za kazi, au haiba?

Kufaragua kimlango cha majani mkajisitiri kwa raha zenu, kumewashinda? Sasa watoto wetu mnawafundisha nini? Eti mna changia choo na wanafunzi kisa choo chenu hakina mlango! Ndiyo maana mkuu wa wilaya wa Bukoba mjini, mheshimiwa Mnari, enzi za utawala wa mzee wa Msoga, aliwachapa kisawasawa.

Nasaha zangu kwa TAMISEMI(ofisi ya Rais); rudisheni EK (elimu ya kujitegemea) mashuleni, kuepuka hizi fedheha kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii na taifa letu kwa ujumla katika viunga vya kimataifa.
Mkuu hao walimu ni mashabiki wa chadema,
Wanaamnini maendeleo yao ataleta mzungu au Lisu
 
Hili tatizo sio la Handeni tu, nchi nzima mashule ya vijijini waalimu shazi wanaishi nyumba moja, majike kwa madume.

Kuhusu kuoga huo ni uzembe, mnashindwaje kutengeneza bafu wenyewe kabisa? Msijikute miungu watu mpewe kila kitu
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom