Handeni: Walimu wanaoga vichakani kwa kukosa bafu

Mwananchi akae tu unamaanisha nini? Mwananchi analipa kodi kwahiyo kashatimiza wajibu wake
 
Mkuu umenena vyema, Hawa jamaa matumizi ya akili na busara Ni sifuri!

Mwananchi wa kawaida anajenga nyumba na anaweka choo na bafu Safi kabisaaah, ila watu wenye mishahara yao na Wana access kubwa ya mikopo wanasubir serikali ije iwajengee choo na bafu!!!!

Jinga Sana watu wa namna hii!!
 
Mkuu kama kweli wewe ni Mwalimu na ulishindwa hata kujijengea mwenyewe kibafu hata cha miti na kuweka mawe kwenye sakafu na hapa unajisifia.......inasikitisha
Nimejenga sana bafu za nyasi baada ya kuchoka kuogea vichakani, mkuu unayajua vizuri mazingira ya shule nyingi za vijijini? Kuna maeneo ukipangwa kwenda kufundisha huko unaweza kuacha kazi kwa jinsi mazingira yalivyo.
 
Mwananchi akae tu unamaanisha nini? Mwananchi analipa kodi kwahiyo kashatimiza wajibu wake
Ukiachana na miji mikubwa, Pamoja na wananchi wote kulipa kodi kuna jamii zina maendeleo kuliko mengine.....

Hawa wenye maendeleo hawakuwaza kuwa wamemaliza kazi baada ya kulipa kodi.
 
Jinga kabisa mkuu.
 
Kama huwa wanaoga ni vema.Uchafu siyo dili.Hayo mengine yataeleweka mbele kwa mbele.
 
Huyajui haya ndugu yangu stay cool mkuu
 
Mkuu hao walimu ni mashabiki wa chadema,
Wanaamnini maendeleo yao ataleta mzungu au Lisu
 
Hili tatizo sio la Handeni tu, nchi nzima mashule ya vijijini waalimu shazi wanaishi nyumba moja, majike kwa madume.

Kuhusu kuoga huo ni uzembe, mnashindwaje kutengeneza bafu wenyewe kabisa? Msijikute miungu watu mpewe kila kitu
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…