Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Hata familia ambayo baba au mama wanakopakopa ovyo madukani na kwa majirani inadharaulika. Tunakubali kuendelea kuwa vibaraka wa wanaotukopesha. Lazima Rais atambue Hili. ifike wakati lazima waone aibu. Nchi Ina kilakitu hii..... Ukweli no mchungu Ila unatibu...kikopakopa ovyo no kutokuwa na mawazo mbadala juu ya ukuzaji uchumi. Naungana na Hando na ndugai
Srerikali ya Tanzania ni kama mtoto mdogo aliyepewa credit card kwa mara ya kwanza. Mikopo iliyochukuliwa na serikali katika miaka miwili hii haijulikani imefanya nini la maana zaidi ya kuongezeka wingi wa chawa wanaodai "Mama anaupiga mwingi!"
 
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu.

"Hakuna kibaya alichokisema Ndugai mimi binafsi sipendi Serikali inavyokopa kopa hovyo wewe unapenda? hapana, Serikali inakopa sana si tunaona kila siku na wenyewe hata Rais kafafanua lakini bado nasema hivi tunakopa sana bado inaonekana hatujajikwamua, kukopa sana sio ujanja maana tutalipa tu" amesema Hando.

Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.

"na huu ugumu wa maisha tunaopitia ni kwa sababu ya haya madeni si tunalipa?, mimi nalipa wewe unalipa kila mtu analipandio tunalalamika hali ngumu kwa sababu we have to paykwa hiyo Spika hakukosea sana kiukweli labda sijui nini kilimsibu Mzee Ndugai" amesema Hando akizungumza kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi leo Disemba 28, 2022.
Ni HAKI yake KIKATIBA
 
Hando sio Mchumi. Kwa hiyo statement yake haiwezi kuchukuliwa kwa uzito wowote. Kwanza, wachumi wanatuambia threshold ya deni kuhimilika ni asilimia 70 ya GDP. Data zinasema Tanzania tuko takriban asilimia 41. Sasa tumuamini Hando au Consensus ya Wachumi?

Miaka ya hivi karibuni, tulitunga Sheria kwamba waandishi wa habari wawe na elimu angalau ya Diploma. Nadhani ilikuwa ni makosa. Waandishi wa habari ni wataalamu wa Uchumi, Fedha, Science, Medicine, History. Kuwa na degree ya uandishi wa habari haitoshi kukufanya mwandishi Bora au mtaalamu.

Jambo kubwa sana kwenye uandishi wa habari ni ku balance story. Lakini watu wote waliosoma chuo kikuu wamesoma Somo la 'research methods'. Hilo Somo linafundisha ku balance (ambayo, kwa kweli, ni common sense) na mambo mengi ya ubora wa andiko lolote. Kwa hiyo, kuwa mwandishi wa habari, haikufanyi kuwa mahiri katika maeneo mengine kama Uchumi Na Science au History!

Kwa hiyo waandishi wasio wataalamu kwenye maeneo mengine, hatuwezi kuwachukulia serious.
 
Back
Top Bottom