Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Hando aungana na Ndugai kupinga Serikali inavyokopa kopa ovyo

Hata familia ambayo baba au mama wanakopakopa ovyo madukani na kwa majirani inadharaulika. Tunakubali kuendelea kuwa vibaraka wa wanaotukopesha. Lazima Rais atambue Hili. ifike wakati lazima waone aibu. Nchi Ina kilakitu hii..... Ukweli no mchungu Ila unatibu...kikopakopa ovyo no kutokuwa na mawazo mbadala juu ya ukuzaji uchumi. Naungana na Hando na ndugai
Miaka flani nikiwa kijana mdogo,babangu alikua na tabia ya kunituma kwenye duka flani kwenda kukopa,aisee jamaaa alikua akiniona tuuu anakunja sura[emoji1787][emoji1787][emoji1787].

Nilikua najisikia mnyonge sanaaaa,mbaya zaidi alikua ananihoji mimii kwanini babangu anakopa kopaa sanaa?.kimsingi ilikua inanitesaa sanaaa
 
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu.

"Hakuna kibaya alichokisema Ndugai mimi binafsi sipendi Serikali inavyokopa kopa hovyo wewe unapenda? hapana, Serikali inakopa sana si tunaona kila siku na wenyewe hata Rais kafafanua lakini bado nasema hivi tunakopa sana bado inaonekana hatujajikwamua, kukopa sana sio ujanja maana tutalipa tu" amesema Hando.

Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.

"na huu ugumu wa maisha tunaopitia ni kwa sababu ya haya madeni si tunalipa?, mimi nalipa wewe unalipa kila mtu analipandio tunalalamika hali ngumu kwa sababu we have to paykwa hiyo Spika hakukosea sana kiukweli labda sijui nini kilimsibu Mzee Ndugai" amesema Hando akizungumza kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi leo Disemba 28, 2022.
TUNAKOPA NA PIA TUNALIPA, SIONI TATIZO, JUZI NOVEMBER MIKOPO MINNE ILIMACHUA HIVYO FEDHA ZILILIPWA NA SEREKALI YETU, AACHE CHOKOCHOKO HUYU PAROKO.
 
Hando alimaliza forodhani mwaka mmoja mbele yangu tumekua pamoja.

Hawa hawa wanaoponda mikopo hivi sasa ndio watakaokejeli awamu ya sita isipomaliza miradi mikubwa mingi iliyoipokea kutoka awamu ya tano.

Tukubali kusuka au kunyoa.
 
Hoja yangu imesimamia kwenye ukweli na muendelezo wa hiyo kauli.

Mwaka 2015 wapinzani walikuwa wanaquote hii kauli ya mwalimu "watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata CCM watayatafuta nje ya CCM' na wakawa wanaishia hapo lakini muendelezo wa hiyo kauli ndio ulikuwa ukweli mchungu kwa upinzani na inaendelea hivi 'Tunataka nchi yetu ipate kiongozi safi, na kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM, ninyi wapiga kura, mnaweza kutupatia kiongozi safi kwa kura zenu, sasa tupatieni kiongozi safi.”
Hakuna mtu karib hapo akunyanganye simu uchangie baadae! Umelewa sana!
 
Je ni kweli Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni?
 
Je ni kweli Deni la taifa hufanya vitu kupanda na gharama za maisha kuwa juu. Nahii inatokana na serikali kuongeza makato na kodi mbali mbali ili kuweza ku meet obligation kwenye kulipa madeni?
 
Hivi mtu kama Gerald Hando ni kitu gani nchi hii hadi kama nchi tuseme '' Gerald Hando kasema.......". Mleta mada upumbavu na ulofa unakusumbua. Hando is generally nothing zaidi ya mlevi flani hapa nchini ambaye pengine angepaswa kuongea zaidi na Breweries badala ya jamii pana kama hii.
ww nae urw nothing just like him and me ko unamzuia mtu kusema maoni yake huu ndo uchawi wenyewe nadhan
 
Hoja yangu imesimamia kwenye ukweli na muendelezo wa hiyo kauli.

Mwaka 2015 wapinzani walikuwa wanaquote hii kauli ya mwalimu "watanzania wanataka mabadiliko wasipoyapata CCM watayatafuta nje ya CCM' na wakawa wanaishia hapo lakini muendelezo wa hiyo kauli ndio ulikuwa ukweli mchungu kwa upinzani na inaendelea hivi 'Tunataka nchi yetu ipate kiongozi safi, na kiongozi safi hawezi kutoka nje ya CCM, ninyi wapiga kura, mnaweza kutupatia kiongozi safi kwa kura zenu, sasa tupatieni kiongozi safi.”
umepanik ww ........attack adeas not hando@
 
Naheshimu sana uhuru wa watu kutoa maoni lakini huwa naangalia ukweli na uhalisia wa maoni hayo. Mtu anapokuja na taarifa kwamba mikopo kwa serikali Ina madhara atupe na solution ya kuongeza mapato ya ndani ili kufidia deficit. Unakuta mtu anaongea tu kukopa kubaya na hapohapo hataki Kodi iongezwe ili kuongeza mapato ya ndani.

Sijasema kwamba natakiwa nikubaliane na kila Jambo linalosemwa lakini hebu tuangalie vitu kwa jicho na uono wa kiudadisi.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba ni lazima tuwe na imani na taarifa zinazotolewa na serikali kwa kuwa serikali taarifa hizo ni reliable and credible.

Serikali imepanga mipango kupitia bajeti na hapo hapo bajeti ikisomwa watu wanafurahia bajeti itawasaidia kwa Kodi kupunguzwa na mengine ila hajui kupunguzwa kwa Kodi kwake ni nini kimefanyika
Mkuu kamaTaifa tuna rasilimali za kutosha tu, kuanzia Bandari, hifadhi za Taifa, Madini, Gas n.k. Tatizo lililopo ni usimamizi hafifu wa matumizi sahihi ya rasilimali zilizopo nchini. Kwanza zinatumika chini ya kiwango, pili kinachopatikana kinanufaisha wachache badala ya Taifa kwa ujumla na pia kukithiri vitendo vya rushwa na urasimu katika usimamizi wa uvunaji na rasilimali hizo pamoja na rushwa

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mtu kama Gerald Hando ni kitu gani nchi hii hadi kama nchi tuseme '' Gerald Hando kasema.......". Mleta mada upumbavu na ulofa unakusumbua. Hando is generally nothing zaidi ya mlevi flani hapa nchini ambaye pengine angepaswa kuongea zaidi na Breweries badala ya jamii pana kama hii.
Nonsense!.
 
Back
Top Bottom