jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Nimekosea mimi! Ninekosea sana!Kwanini sasa Ndugai alijiuzuru baada ya Free expression?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekosea mimi! Ninekosea sana!Kwanini sasa Ndugai alijiuzuru baada ya Free expression?
Kuna siku tulikaa bar na wachumi, ingawa walisema masharti ya mikopo hayawekwi wazi lakini sharti mojawapo ni kutokuongeza matumizi ya serikali kwa kuongeza ajira mpya.
Kwa mfano vituo vya afya vitajengwa lakini huduma za afya zitaendelea kuwa duni na mbaya kwa sababu hakuna uwiano sahihi kati ya daktari-idadi ya wagonjwa-siku.
Sijui mnapata picha wenzangu? Maana nipo bar hapa.
Ningependa kujua hivi ni kwanini rais wa Tanzania halipi kodi? Au analipa jamani nielewesheni. Je kuna ofisa/maofisa wengine ambao pia hawalipi kodi?Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.
We boya tu na zuzu Tena nguchiro hujielewi na degree uchwaraHuyo asitafute cheap popularity na kama kala mlungula wa Ndugai aweke wazi na sio kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Kauli ya Ndugai ilipingwa na wataalamu kutoka benki kuu tukianza na Gavana. Kwa kumsaidia huyo Hando ni Nani Kati ya yeye na Gaavana wa benki mwenye taarifa sahihi za hali ya uchumi?
Pia, tunapotaka kumquote Ndugai tusiishie kuquote kikauli kinachotupa matumaini. Hiyo kauli ilivyoendelea mbele ndio lengo kuu la mazungumzo yake lilipokuwa.
Mwambie Hando ajipe muda kusikiliza hotuba yake nzima halafu aje hapa aseme anakubaliana nayo ama vipi
Freedom of expression: Anashauri njia gani mbadala za kupata fedha nyingi za kumalizia miradi mikubwa ya kimkakati? 🙏🙏🙏MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job Ndugai kuzungumzia mikopo haukuwa mbaya na hakupaswa kujiuzulu.
"Hakuna kibaya alichokisema Ndugai mimi binafsi sipendi Serikali inavyokopa kopa hovyo wewe unapenda? hapana, Serikali inakopa sana si tunaona kila siku na wenyewe hata Rais kafafanua lakini bado nasema hivi tunakopa sana bado inaonekana hatujajikwamua, kukopa sana sio ujanja maana tutalipa tu" amesema Hando.
Hando amesisitiza kuwa mikopo nchi inayoingia lazima tutailipa na walipaji ni sisi watanzania wote yaani mimi na wewe.
"na huu ugumu wa maisha tunaopitia ni kwa sababu ya haya madeni si tunalipa?, mimi nalipa wewe unalipa kila mtu analipandio tunalalamika hali ngumu kwa sababu we have to paykwa hiyo Spika hakukosea sana kiukweli labda sijui nini kilimsibu Mzee Ndugai" amesema Hando akizungumza kwenye Kipindi cha Joto la Asubuhi leo Disemba 28, 2022.
Hata hao watu wako unawaona wa maana Ni walevi tu, tuwataje kuanzia juu kushuka chini au chini kwenda juu,Hivi mtu kama Gerald Hando ni kitu gani nchi hii hadi kama nchi tuseme '' Gerald Hando kasema.......". Mleta mada upumbavu na ulofa unakusumbua. Hando is generally nothing zaidi ya mlevi flani hapa nchini ambaye pengine angepaswa kuongea zaidi na Breweries badala ya jamii pana kama hii.
Kwani gavana anapanga matumizi ya nchi au ufisadi ukifanyika unamhusu?Huyo asitafute cheap popularity na kama kala mlungula wa Ndugai aweke wazi na sio kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Kauli ya Ndugai ilipingwa na wataalamu kutoka benki kuu tukianza na Gavana. Kwa kumsaidia huyo Hando ni Nani Kati ya yeye na Gaavana wa benki mwenye taarifa sahihi za hali ya uchumi?
Pia, tunapotaka kumquote Ndugai tusiishie kuquote kikauli kinachotupa matumaini. Hiyo kauli ilivyoendelea mbele ndio lengo kuu la mazungumzo yake lilipokuwa.
Mwambie Hando ajipe muda kusikiliza hotuba yake nzima halafu aje hapa aseme anakubaliana nayo ama vipi
Hii kauli sio nzuri hata kidogo. Labda ndio maana Zitto alisema watu wakajizike pale pembeni ya kaburi? (Samahani, kauli ya ZZK siikumbuki vizuri)Majitu Kama huyu Mwendazake alikuwa anawafungasha kwenye viroba..
Jitu hakilielewi kitu linaropoka tuu,hicho kindugai kilitimuliwa kwa sababu ya uropokaji usio na maana..Hii kauli sio nzuri hata kidogo. Labda ndio maana Zitto alisema watu wakajizike pale pembeni ya kaburi? (Samahani, kauli ya ZZK siikumbuki vizuri)
no huyo jamaa kakosea,alichojiuzulu ndugai ni kwamba mkopo huo ulipita lbungeni na yeye akaunga mkono sasa inakuwaje unatoka nje ya bunge na kuupinga wakati bungeni aliuunga mkono?Kwanini sasa Ndugai alijiuzuru baada ya Free expression?
Hali ya uchumi wa taifa haiangalii uchumi wa mtu mmoja mmoja. Kwa hiyo kupitia Pato ghafi la taifa hapo ndio tunapata pichaHando na Ndugai wametoa Normative statement tu, so there is no verifiable evidence on them, lakini ndiyo ukweli wenyewe huo...
Siasa chafu na za kutafuta umaarufu usio na maana ndio zilitufikisha hapa tulipo. Kabla 2015 miaka 7 iliyopita CHADEMA walitembea nchi nzima kumtangaza Lowassa ni fisadi na wakamnanga na kumrushia kila jiwe. Cha ajabu 2015 akawa mgombea Urais na tuhuma zote zikatakaswa.Kwani gavana anapanga matumizi ya nchi au ufisadi ukifanyika unamhusu?
Shida tunazopitia yeye anazijua?
Yeye anachojua ni kwamba bado tunaweza kukopa au tumefika kikomo
Yeye yupo kwenye kiyoyozi na akiingia kwenye ma sefu ya kutunza hizo pesa moyo unalidhika
Sasa wewe ambaye unahangaika kutafuta buku mtalingan naye?
Posho na mshahara anaolipwa ni sawa na mtaji unao uwekea dhamana nyumba ya ukoo na kisha ukatwe tozo ila yeye hasumbui kichwa.
Bado vipo?Mungu mlinde Hando dhidi ya vitu vyenye ncha kali