Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kukopa ni sehemu ya Maendeleo
AmenMungu mlinde Hando dhidi ya vitu vyenye ncha kali
Kwani hayo Mambo yapo?Heri ukae zako kimya,kuongea ukweli kama huu na una familia inakuangalia,una marafiki una watu wanaotamani kukuona kila siku.. ni "Very Risk"
Sitoshangaa kuona hando kazushiwa la kuzushiwa mara pap hayupo Efm..
Hata hawato deal na Gerald Hando,wata pga simu 1 tu kwa majizo,watampa Option mbili tu halafu atachagua mwenyewe Mwenye Efm yake.
Ukashangazwa tena?Nimemskiza leo Asubuhi wkt wakichambua Magazeti na Musa KP! Nikashangazwa na ule Ujasiri wake!
Hiv kodi zetu zinashindwa kujenga madarasa? Kweli je viongozi wanashjndwa kutengeneza fursa kweli ili watu waweze kujitegemea kweli?na kuachana na mamikopo ya hovyoMaendeleo ni ubunifu wa fursa na kujitegemea kama mtu au taifa, kukopa kibiashara ni sawa lakini unakopa ukajenge matundu ya vyoo au madarasa ya umma never, kukopa sio maendeleo, maendeleo ni kujitegemea kwa asilimia kubwa bado uwezo wa viongozi ni mdogo kifikra pamoja na fursa lukuki zilizopo,
Panatakiwa pesa bwawani,pesa sgr,pesa mwendokasi mbagala na gongolamboto,pesa madarasa kizazi kijacho kisome,pesa kinyerezi,pesa barabara..matrilioni,yanatoka wapi!?..tozo tu mmelia,au tusijenge miundombinu,tubaki vilevile ili tuonekane hatukopi!?Ukiongea huu ukweli unaonekana we ni timu legacy, Ila hata wanaosifu na kuabudu ni swala la mda tuu
Economically inaitwa conversion wazee,unakopa kwenye riba ndogo na grace period ndefu unaenda kulipa kwenye riba kubwa ili usipate hasara zaidiUkweli mchungu! Huwezi kukopa deni kwa mdai namba 2 ili uende ukalipe deni lingine sugu kwa mdeni namba 2.
Unaelewa lakin hata unachokiongeaPanatakiwa pesa bwawani,pesa sgr,pesa mwendokasi mbagala na gongolamboto,pesa madarasa kizazi kijacho kisome,pesa kinyerezi,pesa barabara..matrilioni,yanatoka wapi!?..tozo tu mmelia,au tusijenge miundombinu,tubaki vilevile ili tuonekane hatukopi!?
Hilo swali jiulize wewe Kama unaelewa unacholalamaUnaelewa lakin hata unachokiongea